Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,718
- 15,347
Hata mm ndio nashangaa mtu kakushinda fukuza arudi kwaoKwanini asimfukuze tuu kuliko kumuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm ndio nashangaa mtu kakushinda fukuza arudi kwaoKwanini asimfukuze tuu kuliko kumuua
Fukuza tuu majirani wakaendeleze masiharaHata mm ndio nashangaa mtu kakushinda fukuza arudi kwao
Hana uzuri kivileee,mirangirangi tu make ups tuRIP dada mzuri,
Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.
Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.
Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.
Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.
Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.
Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.
RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
True indeed! Kwa wale ambao hamjaoa: Mna bahati sana kwani technolojia imerahisisha sana namna mnaweza kumjua mwanamke mzuri. 1. Mwanamke anayejipost sana kwenye social media kaa naye mbali. 2. Wanawake wanaojifanya kufanya ''biashara'' za kupamba kumbi, mabibi harusi, kutengeneza keki nk waangalia kwa macho mawili.Ukishaolewa unakuwa chini ya mamlaka ya mume. Kama angekuwa na akili angemshirikisha kwenye jambo hilo mumewe waende wote. Haiwezekani mko kwenye ndoa halafu mke anakuja anakwambia usiku naenda disco naomba ruhusa au nimealikwa kwenye harusi naenda. Ina maana mpk kuchanga alichanga kama yuko single wakati ana mme?
Ukiona ndoa mtu anataka kufanya mitoko peke yake kama yuko single hapo ujue hamna ndoa
Hamna kitu wanaelewa watakufa sana akili zao ziko kweny makalio ndo kitu wako wanaringiaView attachment 2244316
Wanawake kuna la kujifunza hapa,Mwanaume anaye nyanyua mkono wake na kukupiga kibao au ngumi hata aombe msamaha vipi iko siku atakupiga teke la mbavu huyu marehem ilitakiwa aliache hili ibilisi haraka sana.
Yaani Mwanaume anakupiga mpaka unazima ukiamka unaendelea nae huu upendo wa aina gani😬Hamna kitu wanaelewa watakufa sana akili zao ziko kweny makalio ndo kitu wako wanaringia
Bastola tu mpaka wakome nampa bigup jamaa
Wapi umesoma Swalha alikuwa Malaya ?Wapi umesoma kuhusu mme wa marehemu kufanya umalaya? Punguzeni umalaya mfurahie utamu wa ndoa, mkileta ujuaji adhabu yetu ni hiyo.
Na yakikushinda useme mapema upewe talaka saba, sio ung'ang'ania kuwa katika ndoa ilihali bado una vinasaba vya kihuni.
HESHIMUNI WAUME ZENU
Ndio maana nimesema mwanaume kazingua zaidi, mwanamke anakuwa defined sana na mazingira uliyo mkuta. Unapo amua kuwa nae it means ukubaliane na ulivyo mkuta na kama unataka abadirike pia uvumilie na uende nae kwa akili na maarifa. Kitu ambacho vijana wana fail, leo mmekutana unataka kesho abadirike haijawahi kuwa hivyoMpendwa binadamu ana kawaida ya kuficha udhaifu wake baada ya kujua kwa sasa kakumiliki ndipo anaanza kuonesha rangi yake halisi ila huyo Mwanamke kwa kumuangalia anaonesha mpenda starehe na kuna uwezekano mwanaume kampata huko sasa alitegemea aache haiwezekani.
Mwanamke umempata baa,kumbi za starehe unategemea ukimuweka ndani ataacha kuna vitu vipo ndani ya moyo kuacha haiwezekani labla mhusika aamue mwenyewe,Watu wajifunze kuoa wa kufanana nao.Mwanamke hajaumbwa kuzururazurura, tunapoenda tofauti na nature na kudharau elimu ya uumbaji ndio hizi shida zinaanza...
Lile shimo ni hatari likishamilikiwa na mtu halafu ghafla ukatokea uvamizi...lolote linaweza kutokea..
Dada zetu ukishakubalu kumilikiwa na mwanaume na ukakubari utii kwenye serikali jiepushe sana na usaliti + kutotii mamlaka, lolote linaweza kutokea...
WanawaKuna wanawake wengine mkiwa kwenye uchumba kabla hujamuoa utaona ni mtu wa maana anayekusilikiza lakini ukishamuoa utaona anabadilika taratibu haswa akishaanza kujua baadhi ya issue zako,
Kwa sampuli ya watu kama wewe hivi vifo vitaendeleaKama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....
usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!
Umemchoka ni bora mkaachana...
Ndoa ina miezi minne yaani hawa inaelekea usiku wa harusi yao walikiwasha 😬Ndio maana nimesema mwanaume kazingua zaidi, mwanamke anakuwa defined sana na mazingira uliyo mkuta. Unapo amua kuwa nae it means ukubaliane na ulivyo mkuta na kama unataka abadirike pia uvumilie na uende nae kwa akili na maarifa. Kitu ambacho vijana wana fail, leo mmekutana unataka kesho abadirike haijawahi kuwa hivyo
Ndo hawa wanawake nasikia hitrel aliua wote vita ya pili ya duniaYaani Mwanaume anakupiga mpaka unazima ukiamka unaendelea nae huu upendo wa aina gani😬
Au ndo alimzima na kitako cha bunduki walai mume mtalibani huyuyuNdoa ina miezi minne yaani hawa inaelekea usiku wa harusi yao walikiwasha 😬
Huyo bwana basi alikuwa bwege sana unalazimishaje kuoa wakati kama huwa unamtia.Ukisikiliza maelezo ya mama mkwe inaonyesha Binti hakuwa tayari kuolewa bali jamaa labda sababu ya uzuri wa binti akaforce ndoa na influence ya pesa ikamvutia mwanadada...
tayari hapo utaona ilikuwa ndoa ya bahati mbaya sio watu wawili waliolidhiana....mmoja alipenda kuoa pambo kwa ajili ya show off, mwingine alipenda kuolewa kwa sababu ya pesa...
😅😅😅 Mambo ya kuopoa The Cask au Diamond lazima akili ikukaa sawa kama huna kifua kipana cha kuvumilia mtu kipindi cha kumbadilisha au kipindi cha kubadilishana tabia ili muweze ku fit.. ila jamaa hata kimuonekano anaoneka bola ya mwanamke, yule mwanamke ni rahisi sana kubadilika kwa sie waataalamu wabobezi ila mwanaume ni mtu wa uchungu uchungu anaonekanaNdoa ina miezi minne yaani hawa inaelekea usiku wa harusi yao walikiwasha 😬
Mwanamke mwenye marafiki wengi naye siyooooTrue indeed! Kwa wale ambao hamjaoa: Mna bahati sana kwani technolojia imerahisisha sana namna mnaweza kumjua mwanamke mzuri. 1. Mwanamke anayejipost sana kwenye social media kaa naye mbali. 2. Wanawake wanaojifanya kufanya ''biashara'' za kupamba kumbi, mabibi harusi, kutengeneza keki nk waangalia kwa macho mawili.