Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

"Nobody has a moral authority ya kuongelea NDOA kama hujaoa ama kuolewa. Tofauti na hapo ni assumptions tu hapa tutafanya."
 
"Jina lake halijatajwa kwa sababu za kiusalama". Wana jf mnaelewa hii kauli?!!


ILA:
Wakati mwingine tujitahidi kuwaheshimu wanaume, ukiona anakupenda mpende pia.
 
Hakuna mwanaume atakayeweza kuwa na kisirani kwa mwanamke mnyenyekevu na mtiifu.kwasababu ukiona mwanaume amefikia hatua ya kuoa kashapenda na hakuna kitu wanaume hatupendi kama kudharauliwa utu wetu.
Siyo kweli, wako wengi tu na baadhi huwa wanajisifia humu kwenye jf.
 
Source yako n ipi mkuu??
 
Uyo mama yake inaonekana shoka mbaya familia ilikuwa inamtegemea marehemu na mume wa marehemu alafu huyu mama anajua mienendo mibaya ya mtoto wake
Huyu mama mienendo ya mtt wake anaijua
Vitt choka mbaya alaf vinapenda maisha ya juu hata kwao hayapo
 
"Jina lake halijatajwa kwa sababu za kiusalama". Wana jf mnaelewa hii kauli?!!


ILA:
Wakati mwingine tujitahidi kuwaheshimu wanaume, ukiona anakupenda mpende pia.

Ndio mtuheshimu sasa sio mnalete ufyetere wa kijinga
 
Huyu mama mienendo ya mtt wake anaijua
Vitt choka mbaya alaf vinapenda maisha ya juu hata kwao hayapo
Mama yake anajua kabisa mtoto wake kaolewa alafu anakuja kulala nyumbani kwa wazazi wake kisha anapigiwa simu na mumewe hapokei, inaonekana akiwa katika mishe za kuchepuka akimaliza tu anaenda kuzuga kwa wazazi wake ili apate utetezi
 
Ww hujapewa sharti lolote huko uliko olewa!
ama unaongea tu bla bla!
 

Legendary!

Mchango wako huu ni adhimu hasa. Wanaume wauzingatie. Project moja, ni mwanzo wa project nyingine. Daima!
 
Tunaweza kulaumu kila upande lkn kimsingi mmoja ndio atakua na makosa zaid ,wengi munasema wanawake wazur sio wa kuoa sawa , je hao wanawake wazur hawaitaj ndoa na je tuangalie wanawake wazur wanaolewa na hakina nan, yan mtu ana hela ana mali akaoe mwanamke wa kawaida inakua ngum sana level za maisha zinaendana sana na ndio maana mara nyng kuna kunakua na mausiano kulinganga level au sehem mashulen ,vyuon makazin mote uku kuna mausiano tena wengine wake za watu au waume za watu ni kwa sababu gan mazingra ,kama jamaa alikua na uwezo fulan habadan hawez kuoa muuza mboga mboga au matunda sokon , ataoa anaeendana nae na ndo maana pamoja na uzur wote uyo mwanamke alikubal kuolewa na jamaa , tatzo apa sio uzur au mali za mwanaume ila binadam tumebalika hakuna anaekubal kuwa chin ktk ndoa kama mwanamke angekua anajua ameshaolewa ni mke wa mtu aya yasingetokea , na aya mambo hayapo tu kwa wanawake wazur au kwa watu wenye ela tu ,ata kwa sisi pangu pakavu ni ayo ayo tu
 
"Jina lake halijatajwa kwa sababu za kiusalama". Wana jf mnaelewa hii kauli?!!


ILA:
Wakati mwingine tujitahidi kuwaheshimu wanaume, ukiona anakupenda mpende pia.
He he he...halafu wanasema kazi yake ni mvuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…