Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Ndio maana huwa nawaambia wanaume wenzangu, never ever date a married woman, achana na habari za kulala wake za watu. Mtu kama huyu angekukuta upo chumbani unamkula mke wake anakupiga risasi hadi za u.boo.
sema jamaa amekata shina mana angesema atafute wanaume wanakula mke wake angeuwa wote mwanza hii pisi ilikuwa kiruka njia ova..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa alikuwa anajaribu kuweka usumbufu ile manzi asipigwe show ya kuvunja jukwaa ndomana anapiga simu kila dakika...asee wivu wa kiwaki sana.
Ndio 42mssd calls ?? hapa lazima ujue unadate na chizi khaaa!!
 
Najaribu kuwaza hayo maneno yote ina maana binti alikuwa anamwadithia mama yake?,"eti akakata sim ili kuepusha ugomvi"[emoji706]huyo mwanamke amepata alichostahili kupata
 
Uyo bint wa ivyo pia na yeye hatakua hajui nn maana ya ndoa ni ngum sana kumpangia mashart mwanamke ambae haujamuoa wapo watakaomujbu mm sio mkeo ,niweke ndan kwanza ,nitolee mahal na mengine kwa mwanamke ambae anajua maana ya ndoa ayo uliyoyasema hafundishwi anajua mwenyewe zip haki za mke zip haki za mwanaume , kuna watu wanasema ukikubal kuolewa bas akikisha umemalza mambo yako ndo mambo ayo sasa ,
 
Jamaa "Me" ni mvuvi...(anajishughulisha na biashara ya samaki) kwa maelezo ya mama mkwe....biashara hii sasa hivi ni pasua kichwa, samaki hakuna mitaji imekata wavuvi Wana msongo mkubwa wa mawazo!

Kuitunza pisi Kali kama huyu Marehemu na kuipeleka viwanja jamaa hawezi...missed calls 42 na ushee kwa usiku mmoja jamaa hata uzingizi ulikosa...na ujute jamaa ni swala tano hata pombe ya kumboost kidogo hatumii, bila shaka kilichotokea ilikuwa lazima kitokee!
 
Ndio shida ya Stori za kuletewa kila mtu anaongea lake.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yaan kila mtu analeta lake, ukiingia ukitoka unakutana na kipyaa, woiiiooh
 
angekuwa anapiga hata k vant ingemshauri asinge kumbuka mambo na bunduki
 
Tunakoseaga sana. Unaacha kuoa mke..unaoa mwanamke.
Mwanamke ni yeyote mwenye uke na anaweza kukosa sifa ya kuwa mke.
Ukioa malaya yeye anaringia uke..tako na sura..haoni shida kuvunja ndoa kwa hamu ya siku zote.
Huyu amejitakia
...Wametangaza kuwa Marehemu ni Ndoa ya Pili. Inafikirisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…