Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

mwanaume apige cm......

"mke wangu wahi upike njaa inanium" hlf mwanamke ukaendelea kushupaza shingo

Asa alikuoa wa nini kama hata kumjali akiwa na njaa huwezi?

mtu akatafte hela hlf bado apite mahotelin kula, kisa mwanamke unazurura kwenye ma show

mengine tunayataka wenyewe wanawake,

kama hujamaliza kudanga ndoa achana nayo
 
Itakua alijipiga alafu akakimbia mkuu,
 
sema jamaa amekata shina mana angesema atafute wanaume wanakula mke wake angeuwa wote mwanza hii pisi ilikuwa kiruka njia ova..
Kumbe alikuwa malaya?
Mwamba nae hakuwa mvumilivu hata kidogo.
 

...mkiambiwa ukiolewa hadi uhuru wako binafsi unakuwa sio mali yako hamsikii, sisi updates za matokeo ya viburi vyenu kwa waume zenu tutakuwa tunazipata hapa.!
 
Wakati naisoma habari hii ya kusikitisha, muda huu nimealikwa kuhudhuria harusi. Naona Bw & Bi harusi wanalishana keki kwa bashasha na tabasamu!!
 
kupewa silaha, watu wana historia mbovu then unakuja mmilikisha silaha
Mkuu hata ukiwa Decent vipi, Incase Unamiliki hiyo kitu na Ukapatwa na Hali ya sintofahamu, inahitaji kontrol kubwa mno kuhakikisha unaremain humble; Most of time hiyo inaongeza Kujikweza kwa namna fulani hata kama wewe sio mtu wa kujikweza.
 
Si inapigwa kimya tu, utapiga wee hadi vidole vitoke kumbe wenzako hata hawasikii ikiita [emoji16][emoji16] na wanaendelea kukulana.
ila unakuwa umemuondolea mzuka huyo mpigaji anakuwa na wasiwasi labda jamaa anaweza kuja ..anaanza kuuliza manzi wakati unakuja huku rafiki yako ulimwambia unaenda wapi?au asee ivi jamaa akifatilia simu akajua mahali ilipo yani lazima show itakuwa ya kuungaunga..[emoji23][emoji23]
 
Hapana
 
K zipo maelfu, ila kama umechagua K yako unaipa matunzo halafu inakuletea ujuaji na upumbavu, dawa yake ndogo tu.
Wengine ndio kama hivyo yani, risasi saba kwenye ubongo..
Haya mambo kila mmoja ana namna yake ya kudhibiti hasira. Wengne ndio kama yeye wanaua ila pole zake sana maana hakuna faida yoyote kapata zaidi kaharibu maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…