Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
N
Na demu ni kabila gani wakuuJamaa "Me" ni mvuvi...(anajishughulisha na biashara ya samaki) kwa maelezo ya mama mkwe....biashara hii sasa hivi ni pasua kichwa, samaki hakuna mitaji imekata wavuvi Wana msongo mkubwa wa mawazo!
Kuitunza pisi Kali kama huyu Marehemu na kuipeleka viwanja jamaa hawezi...missed calls 42 na ushee kwa usiku mmoja jamaa hata uzingizi ulikosa...na ujute jamaa ni swala tano hata pombe ya kumboost kidogo hatumii, bila shaka kilichotokea ilikuwa lazima kitokee!