Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

N
Jamaa "Me" ni mvuvi...(anajishughulisha na biashara ya samaki) kwa maelezo ya mama mkwe....biashara hii sasa hivi ni pasua kichwa, samaki hakuna mitaji imekata wavuvi Wana msongo mkubwa wa mawazo!

Kuitunza pisi Kali kama huyu Marehemu na kuipeleka viwanja jamaa hawezi...missed calls 42 na ushee kwa usiku mmoja jamaa hata uzingizi ulikosa...na ujute jamaa ni swala tano hata pombe ya kumboost kidogo hatumii, bila shaka kilichotokea ilikuwa lazima kitokee!
Na demu ni kabila gani wakuu
 
😅😅😅 Hawa wamama zetu wa mwendo kasi, kama mnazinguana kabla hujarudi home ni bora ukabaki huko huko , ukirudi home unaweza jikuta unafanya mambo yasio kabisa. Umezinguana nae baki huko huko rudi baada ya siku mbili tatu hivi.. hii koment asione mama kijacho wangu Nuzulati
Leo inabidi nikague kabati na nyumbani nijue hii 🔫 umeificha wapi maana inabidi tujihami 😬😬
 
Majuto yalimuandama akaona nae ajimalize, na hii ishu ya umiliki wa silaha naona vibali vinatolewa kifamba sana kuna watu hawastahili kupewa silaha, watu wana historia mbovu then unakuja mmilikisha silaha
Hasira aliyonayo mtu mpole ni mara mbili ya aliyonayo mtu wa kawaida Hawa watu wapole wa kuogopa Sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asee sijui bhana wanaume tunapitia mengi sawa mtu achepuke ila awe na nidhamu aangalie majukumu yake kama kawaida sasa haya mengine yakishaliwa tu yanaleta dharau hataki hata kupika yani...mbona wote wanachepuka ila wengine wanajua maana ya mume akirudi home anakaa kama mke..
😅😅 tuwe makini sana na tunapo watoa na ni vyema kabla hujaamua kumuweka ndani jua background yake.. Mie manzi ikizingua nitaipiga matukio hadi ikimbie inipishe kwangu
 
Aaah! wewe ulivyo siwezi nyoosha kwako hata kidole.. wala kukugusa kwa hasiraaa... 😎😎
Kwani hata aliye uwa alijua kama siku moja atauwa hasira hasara hebu niambie baba kijacho una miliki 🔫au huna nijipange kukwepa siku ikitokea😁😁
 
Huwa naamini katika kuendana zaidi

Mtu akiwa na pesa na uwezo anamuoa mwanamke mzuriiiiii yule anaemtamani kwasababu tu pesa ina mruhusu kuoa au kumpata

Lakini anasahau hiki kigezo cha “kuendana”
Ye anapenda hiki mke hiki
ye hataki hiki mke hataki kile
ye anathamini hiki mke kile

Na hapa sizungumziii vitu vidogo vidogo!!Nazungumzia yale mambo ambayo mkitofautiana kunaleta shida kubwa!!…

mfano 😀emocracy ndani ya familia
Kuna wanaume wanapenda kusikilizwa tu na kuna wanawake wanapenda wao ndyo watoe maamuzi (watu wa ivi wakikutana IMBOMBO ingafu)

Mahali pa kuishi au kujenga makazi ya kudumu
Mwanaume anapenda kuishi kigoma mwanamke hataki kuishi nje ya dar ( hawa hawawez kaa pamoja hasa kama kila mtu ana msimamo wako!!…)

Mwanaume anataka low key lifestyle mwanamke anataka Attention kama wema sepetu hapo napo imbombo ingafu!!…

sikiliza interview ya mimimars na millard ayo ni nzuri sana !! kabla hujaingia na mtu kwene ndoa !!..
 
Kwani hata aliye uwa alijua kama siku moja atauwa hasira hasara hebu niambie baba kijacho una miliki 🔫au huna nijipange kukwepa siku ikitokea😁😁
hapana mama kijacho, siraha kwangu mwikoo .. i wish hata ndani hata kisu kisiwepo.. yaani tukikorofishana ni body to body tuuu hakuna kunyanyua mdomo wala kunyosheana vidole 😎😎
 
Commment kutoka Kwa mdau[emoji28]

Mdau anaomba aelekezwe mochwari iliko akachachue
IMG_20220530_155331.jpg
IMG_20220530_155336.jpg
 
Baadhi ya comments za wadau kutoka sehemu mbalimbali View attachment 2244467
Mwamba kapuyanga kuua, sasa anaishi kama digi digi sijui wameisha mdaka .. wakati angetulia zake jana kama ana vihela angeenda pale The Cask au Malaika akichukua machine kalii atulie impoze poze sasa anaenda kupambana na kaka nyapara
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake hawa noma sanaa... Sema wengi wao maneno tuu ila mwanaume akisema Nakuua jua mwanamke ipo siku atauliwaa kweliii..

Anyway kwenye hii kesi nilichokiona inawezekana kwa wanaume asilimia kubwa wangefanya hayaa kama una silahaa na mwanamke anakudharau na kuleta nyodo hasiraa huwaga haziwi mbalii.. Ni bora sasa awe na mipaka ya manenoo otherwise ni hatarii sanaa...!! Unaweza jikutaa tu umepiga mtu risasiii. Siafikii kilichofanyikaa sio sawaa ilaa ndio nature ya maamuzi ya mwanaume akiwa na hasiraa nadhani mnakumbuka kesi ya UFO SAROOO
...Hivi Ufoo Saro aliishis Wapi, Mkuu?...
 
Back
Top Bottom