Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Hutakaa usikie mkuu na ikitokea inabidi tuitishe kikao.Toka nizaliwe sijawahi sikia hizi kesi tangaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakaa usikie mkuu na ikitokea inabidi tuitishe kikao.Toka nizaliwe sijawahi sikia hizi kesi tangaaa...
Kabisa. Ukisikia mwanamke wa Tanga kauliwa itabidi tutafute asili yakeHivi ushawahi sikia mwanamke kutoka tanga,kauliwa sie zaidi ya kumpa furaha mume hatujui kumpa hasira mwanaume hadi kufikia kuuwa🤷🏼♀️
Hakuna thamani ya mahari inayokuwa sawa na thamani ya uhai wa mtu/mwanamke.Anaefanya umalaya ni Mwanamke, Mwanaume anafanya uhuni.
Pia kumbuka mwanaume haolewi yeye ndio anatoa ela yake kulipia mahari (Hiyo inatamkwa Mahari -Ni sawa amenunua kitu chake) hivyo kitu cha mtu hakiruhusiwi kutumika bila ruhusa yake.
Usimzoee basi mzee wa kimasihara chondr chonde mama kijacho 🥹🥹🥹Hutakaa usikie mkuu na ikitokea inabidi tuitishe kikao.
Except awe ametokea Tanga.Mwanamke mzuri sana haolewi
Sasa huyo Ngosha na yeye ndo mwisho wake. Ataishia jela incase akiwa bado hajajiua. Hakuna faida atakayoipata kwa kuondoa uhai wa Swalha. Si angempa talaka 3 tu.Tena Waislam ni rahisi sana kutoa Talaka.Huna habari aliachika kwa umalaya wake kwenye ndoa ya kwanza, badala ya kujifunza akaendeleza ushenzi wake na dharau juu.
Ngosha akasema liwalo na liwe amekipata alichokipata, halafu humu ndani mnajazana ujinga ndio maana % kubwa humu mmeachika wachache sana wanajitambua na hutoona wakiunga tabia chafu kama za huyo marehemu.
Nakumbuka moja ya mahusiano yangu niliyopitia niliwahi kuwa na mwanaume mpigaji niliambiwa na wadogo zake na rafiki zake ila kwangu hakuwahi nipiga hata kofi yeye mwenyewe alikuwa anajishangaa.Kabisa. Ukisikia mwanamke wa Tanga kauliwa itabidi tutafute asili yake
😅😅😅Haki nimecheka mnajuana kumbeUsimzoee basi mzee wa kimasihara chondr chonde mama kijacho 🥹🥹🥹
Tatizo lao tamaa ndiyo inawaponza,Ndoa anaitaka na usaliti pia anautaka,Sasa hapo bomu likilipuka ni Mungu tu ndiyo anajua itakuwaje hadi mwisho wake!!!Tatizo uhuru huo ndo unasababisha usaliti, hakuna mwanaume anaweza vumilia kuchapiwa hiyo ni asili, so nyie wanawake inabidi kabla hujamsaliti mme wako ni bora ukaondoka hapo kwa mwanamme, sio unafanya usaliti then unarudi kupata hifadhi.
Mwamba mpak mda huu tunavyoongea yupo lubumbashi ha ha ahaa ameshajiunga na wanamgambo wa ADFSasa huyo Ngosha na yeye ndo mwisho wake. Ataishia jela incase akiwa bado hajajiua. Hakuna faida atakayoipata kwa kuondoa uhai wa Swalha. Si angempa talaka 3 tu.Tena Waislam ni rahisi sana kutoa Talaka.
haaa abiria chunga mzigo wako 😬😬😬 tunajuana humu😅😅😅Haki nimecheka mnajuana kumbe
...Au kuchomwa Moto na Gunia Mbili za Mkaa... kama Kyle Kigamboni....!Mwanamke wa hivi anaingia kwenye ndoa na uanaharakati wake anaishia kulimwa risasi saba kichwani. Kuna watu wamevurugwa sio poa.
Ngoja nikuambie, jaribu sana kutojibu kashfa hasa mnapokuwa kwenye hasira. Kwa uzoefu wangu najua wanawake wengi hupenda kuwaumiza wanaume kwa maneno ya kashfa, kejeli na kiburi.Leo inabidi nikague kabati na nyumbani nijue hii 🔫 umeificha wapi maana inabidi tujihami 😬😬
Jamaa "Me" ni mvuvi...(anajishughulisha na biashara ya samaki) kwa maelezo ya mama mkwe....biashara hii sasa hivi ni pasua kichwa, samaki hakuna mitaji imekata wavuvi Wana msongo mkubwa wa mawazo!
Kuitunza pisi Kali kama huyu Marehemu na kuipeleka viwanja jamaa hawezi...missed calls 42 na ushee kwa usiku mmoja jamaa hata uzingizi ulikosa...na ujute jamaa ni swala tano hata pombe ya kumboost kidogo hatumii, bila shaka kilichotokea ilikuwa lazima kitokee!
Kwenye uzi wake nawe una wahadithia jinsi ulivyokula kimasihara umenistua ngoja nikachungulie nijue.haaa abiria chunga mzigo wako 😬😬😬 tunajuana humu