Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Siwezi muua, akizingua atanikuta napiga threesome kitandani au foursome ndio atajua hajui [emoji28][emoji28][emoji28]
mkuu sema nini kuna saa unakuta kazi imekuvuruga mpaka hutaki kuona pisi yoyote unawaza ufike home ukute maji moto chakula ule ulale sasa fikiria ndo unakutana na mambo kama hayo asee saiyo huwezi pata hata mama za kukubali upige 3some ...
 
Jaman mtu wako akitaka kuliwa ataliwa tuu [emoji23] em tuache wivu wa namna hii.
 
Naahidi kukulinda popote uendako 😍
 
Jaman mtu wako akitaka kuliwa ataliwa tuu [emoji23] em tuache wivu wa namna hii.
asee wivu ni kitu cha asili huwezi kukizibiti ni kama kumpenda mtu yani unaweza shindana nacho ila sio kukiondoa kabisa sasa wakati mwingine unashidwa kama muhuni wangu huyo yeye akavuka mipaka kabisa...
 
mkuu sema nini kuna saa unakuta kazi imekuvuruga mpaka hutaki kuona pisi yoyote unawaza ufike home ukute maji moto chakula ule ulale sasa fikiria ndo unakutana na mambo kama hayo asee saiyo huwezi pata hata mama za kukubali upige 3some ...
😅😅😅 Hawa wamama zetu wa mwendo kasi, kama mnazinguana kabla hujarudi home ni bora ukabaki huko huko , ukirudi home unaweza jikuta unafanya mambo yasio kabisa. Umezinguana nae baki huko huko rudi baada ya siku mbili tatu hivi.. hii koment asione mama kijacho wangu Nuzulati
 
Si inapigwa kimya tu, utapiga wee hadi vidole vitoke kumbe wenzako hata hawasikii ikiita [emoji16][emoji16] na wanaendelea kukulana.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tena wali mute, na kuweka kwa droo, wao wanaendelea kuzagamuana tyuuh.
 
asee wivu ni kitu cha asili huwezi kukizibiti ni kama kumpenda mtu yani unaweza shindana nacho ila sio kukiondoa kabisa sasa wakati mwingine unashidwa kama muhuni wangu huyo yeye akavuka mipaka kabisa...
Wenye wivu wa namna hii nawapa pole sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asee sijui bhana wanaume tunapitia mengi sawa mtu achepuke ila awe na nidhamu aangalie majukumu yake kama kawaida sasa haya mengine yakishaliwa tu yanaleta dharau hataki hata kupika yani...mbona wote wanachepuka ila wengine wanajua maana ya mume akirudi home anakaa kama mke..
 
Wenye wivu wa namna hii nawapa pole sana.
sawa ila huwezi kujua kama wako ana wivu au hana mpaka siku utaenda kwa mama alafu akupigie uje upike usiende apige msdcall48 alafu uje uende saa tisa ndo utakuja hapa kutoa ushuhuda ana wivu au hana..
 
SUMA JKT linda hii lulu ya Taifa.
 
Hypergamy truly is a bitch. Na jamaa alishindwa kung'amua kuwa he is the beta provider kwenye hii arrangement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…