Wanawake Wengi ambao ni Watu wa show off hawana heshima kwa wanaume Wao Kabisa, Wao wanajali Bata Tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Show ni sababu iliyofanya kikombe cha hasira za jamaa kijae hatimae, kuna uwezekano mkubwa huko nyuma jamaa alisumbuka na vingi sana juu ya huyo mwanamke.
Sasa wee mwenyewe umemuokota demu kwenye bata leo unataka asiende kwenye bata...huo ni ujinga.
Alishazimia mara mbili mkuu, wakati mwingine maneno ya faraja yanamfanya awe na nguvu. Kuna watu wana imani ya dini wakikumbuka mawaidha wanapata faraja na ndio maana kuna wengine pamoja na kufiwa hupata nafasi ya kuwaimbia wapendwa wao.Huyo mama anaonekana kimeo sana yaani hata kulia halii mtu gani huyo
Kuna maisha Watanzania tunaanza kuishi kama Wamarekani sasa, maana kule wenzetu kuwa na mtutu na kutishia kuua ni kitu cha kawaida yaani ile "I will shoot you mother****" ahhh yani tayari kashaminina kashakuondoa uhai... sasa wa Tanzania tunaenda huko
Aina hii ya mwanamke,muda wa goodmorning ndiyo tutajua uzur wakeBila make up yukoje?
mama zao wanakua wanajua kila kitu kenge hawa eti alikua nyumbani saa sita usiku sijui alikua anafanya nini ?🤔Huyo mama anaonekana kimeo sana yaani hata kulia halii mtu gani huyo
Duh hatari sana.Ni nature tu dada, after all kama wahusika wenyewe wanajuana na wameridhia kuna shida gani?
Hata mbuyu ulianza kama mchichaBado sana, labda ndio tuko asilimia 2 ya hayo maisha.
Uje chobingo chapMambo
Ova
Mh...sidhani.Binafsi mwanaume hanibabaishi. Mimi akinipiga kofi tu. Tunaachana.
Mpaka ifike hapo kutakuwa kuna jambo zitoKwa kweli mwanaume akikupiga hata konzi ni wa kuachana nae haraka sana
Huyo jamaa atakua mgonjwa wa akili. Haiwezekani upige simu mara 42..Na wewe mwanaume unajielewa kabisa unapiga simu mara 42 unataka nini.?
Call her once, send an sms ya unachotaka kumwambia then mute..asipojibu mda akija home atatoa maelezo hadi ya ziada.
Jirekebisheni kwani mna mpango wa kutumalizaMpaka ifike hapo kutakuwa kuna jambo zito
Hatuwamalizi mpaka mnapoanza kutumaliza...Jirekebisheni kwani mna mpango wa kutumaliza
Hahahaha ni halali yenu mle risasi saba vichwani, kwa akili hizi nani aliyekamilika atakubakiza?Nini kitatuua,? unapenda kuishi kwa mazoea sio. Shauri zako utaumizwa dogo
Ngoja watakufata huko PM, good boy.Kwa nini alimuoa? Huyo ni mmojawapo wa wanaume wapuuzi wanaojaza tu dunia.