Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwa nini alimuoa? Huyo ni mmojawapo wa wanaume wapuuzi wanaojaza tu dunia.
Show ni sababu iliyofanya kikombe cha hasira za jamaa kijae hatimae, kuna uwezekano mkubwa huko nyuma jamaa alisumbuka na vingi sana juu ya huyo mwanamke.
 
Bado sana, labda ndio tuko asilimia 2 ya hayo maisha.
Kuna maisha Watanzania tunaanza kuishi kama Wamarekani sasa, maana kule wenzetu kuwa na mtutu na kutishia kuua ni kitu cha kawaida yaani ile "I will shoot you mother****" ahhh yani tayari kashaminina kashakuondoa uhai... sasa wa Tanzania tunaenda huko
 
Huyo mama anaonekana kimeo sana yaani hata kulia halii mtu gani huyo
mama zao wanakua wanajua kila kitu kenge hawa eti alikua nyumbani saa sita usiku sijui alikua anafanya nini ?🤔
yaani hakuna kitu kinauma kama mwanaume unawekeza kila kitu hadi maisha yako kwa mwanamke halafu bado anamegwa kama kawaida yaani

nisikuchape chuma mi nani ?
 
Back
Top Bottom