Basi kama hamtaki kutulizwa na kipato chetu,basi oleweni na Makabwela!! Makabwela tukiwatokezea mnatupiga kibuti kisa hatuna mkwanja! Sasa mkae mkijuwa kuwa kwenye mkwanja kuna na bastola pia,Sasa kazi kwenu!!!Shida ya Wanaume wenye pesa huwa wanadhani kutokana na kipato chao kitatuliza Mwanamke yoyote hii jinsia inaitaji kuelimishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa!Ukimuoa mtu haujanunua uhuru wake?
Kwa hiyo ukiolewa unarudi home unarudi muda unaojisikia? Unaenda popote unapotaka? Acha muendelee kula risasi za.kichwa tu.
Dah huyu alistahili hata magazine 5 kabisa, si risasi 7. Inaonekana mwamba alikuwa mstaarabu sana ila kupenda kahaba ndo kumemponza. Ndo maana hadi kajiuaRIP dada mzuri,
Huyu dada alikua ni make up artist na designer, na ni maarufu mwanza, pia ndoa yao ilikua ina migogoro tangu mda kisa ni Usaliti, mwanamke alikua na jamaa mwingne nje.
Siku ya tukio, Dada na mumewe walienda kwa match ya simba na yanga, baada ya hapo wakarudi home, baadae dada akaomba ruhusa ya kutaka kwenda kuangalia mpira wa UEFA, mumewe akagoma, ktk mabishano bidada akaamua kuondoka kwa kiburi chake.
Sasa kumbe huko kwa Mpira wa UEFA ndo alikua na mchepuko wake, kuna watu walimuona wakamtonya mumewe, machale ya bidada yakamcheza wakaondoka na jamaa ake pale eneo, mumewe alivyofika pale hakuwakuta, kila akimchek kwa cm kimyaa, bidada cm alizima, mumewe akarud home kumsubiri.
Bidada naye baada ya kutosheka huko alikokua na jamaa, akaamua kurudi home, kufika home ndo akakutana na mumewe ktk maulizano bidada akatoa maneno ya kashfa kwa mumewe, mume uvumivu ukamshinda akaamua awashe kitu cha moto, paah paah paaah paaaah paaah, nayeye kusepa hapo hapo.
Marafiki na watu karibu wa huyu dada wanasema alikua anawaambia ukweli kuwa hampendi kwa dhati mumewe, ila yupo nae kwa kuwa ana pesa, na amemsaidia vingi ktk maisha, ila upendo wa dhati kwake hana. Mwishoe ndo haya yaliyotokea.
Mtu km humpendi bora umuache hata km ana pesa, wee kuwa na unaempenda mtafute wote, huku kujidanganya kuwa unaweza fake, matokeo yake ni hataree. Mapenzi yana nguvu mnoo na hayafichiki.
RIP dada mzuri, Tamaa mbele, Mauti nyuma.
Kweli,wa kawaida,ila kwa Mwanza mkali,akija Arusha hao weupe wapo kama mchangaKazi ya kawaida tu ile mkuu ukilinganisha na mnavyoisifu humu, simaanishi ni mbaya ila ki pisi ya kawaida unless huwa hitembei kwenye events mbalimbali zenye watoto wakali.
We bibie unaakili sana, wenzio wangekuwa km ww haya marisasi yasingekuwepo.
Achana na maneno ya motivation speaker. Hata wa kujinyonga huwa anafika Point of no returnKwa hiyo? umesoma ulichoandika kweli? hata kama mke malaya au sababu yoyote ile ndio humtoe uhai ili iweje? sasa kamuuwa yeye nini alichopata kikubwa kaharibu maisha yake na family yake. Najuwa kuna maudhi yanatokea katika mahisiano na wakati mwingine unampenda sana na inauma lakini sio kumalizana sababu ya mapenzi. Kama walifikia mpaka kufunga ndoa ina maana walipendana ikiwa yametokea haya kutoaminiana huwezi fanya mchakato muachane japo najuwa sio rahisi. So sad ila mwanamme wa kweli hupigi mwanamke move on.
Wachache sana watakulewa ila nidyo hivyo, kuna wapumbavu humu wanajiona ni vidume kweli mikwala mingiii ila ni wajinga na wafyata mikia nje ya keyboard , ila hakuna jambo la kijasiri kama la mwanaume kufanya uamuzi wa kumuacha mwanamke anamtia stress hata kama umetumia hela nyingi kumtunza ni bora umuache kuliko kutoa uhai wa mwanamke na wewe kujiangamiza, kizazi dhaifu sana hichi
Wanasikiaga basi, hapa tu mimi wife hajarudi toka saa kumi jioni hii saa nne! Vikoba gani wanakaa hadi usiku wote huu na sijala hapa namsikilizia tu tuone mwisho ukiwalamba mapanga waanze kulaumu
Nimekupata yaani katika mwanaume kukomolewa ni kuwa 1- mnabeba mimba nje mnatuletea tulee damu isiyo ya kwetu. 2-yaani huwa mnatoa uroda haraka Sana kwa mtu yeyote japo kujipooza machungu ya moyoni. 3- ni rahisi kuua mwanaume haraka Sana Mana anakuwa karaha kwako.Ndiyo maana Wengine wanalea watoto si wao, wengine wanatangulia kabla ya wakati wao, na wengine wanatoa uroda hata kwa BODABODA!!!!!
Kuna mwingine huku.
Nahisi mimi nitatumia hypersonic na ICBM zile za Putin kabisa. Maana risasi naona kama ni kumfuta vumbi tu.
We utakuwa umemsoma mumeo ni mtu wa namna gani that's why umeufyataHapana,tumejenga pamoja. Kwani nini niondoke ?Mme wangu ni mfanya biashara mkubwa kaajiri watu 50 kabisa. Hivyo si Marioo.
Hiyo clip iko wp!Mdogo wake amefunguka vizuri sana kuliko mama yake. Mwamba alihisi mke analiwa nje! So sad