Yaani iruhusu mtu kuwa na mke nne but not have a menage a trois....wat a wasteDini hairuhusu tatusum.
Umalize bata zote hiyo mbususu itakuwa katika hali gani ?🤣🤣🤣🤣Muhimu ni kujitambua,ndoa ni sacrifice haiwezekani uingie ndoani na uishi kama single lazima mtashindwana tu...
Lakini ni muhimu kabla ya ndoa uhakikishe umemaliza bata zote na unaingia ndoani kutulia.
Una focus project za familia nk huwezi kupata muda wa kwenda show za diamond nk
Ndoa inahitaji ukomavu wa pande zote mbili
Sasa kamkuta na hiyo kazi angemuachisha?Ushamba wa mapenzi ndo tatizo,demu unaambiwa ni maarufu afu unamuoa na una mruhusu aendelee kufanya biashara zake za mizunguko unategemea nini
Huyo ni mrangi wa kondoa,mama yk ni shangaz yanguWa wapi
Jamaa alikua mwehu.Hua sipigi simu zaidi ya mara mbili kama hatuna appointment.
Napiga mara moja. Nakaa saa mbili napiga tena.
No response? Naacha text "Hope you are fine. Please call me back"
Unapiga simu 42 times? How?
Ladies if a nigga beats you mteme. Over time that fool will see the beating ain't enough.
To me,pamoja na make up zake bado Ni wa kawaida.Bila make up yukoje?
Tatizo tako na rangi besty...wee unaona mrembo anavyo meremeta...sasa huo upaja unauachaje jamaniMachaguo yenu ndio mabovu,si mnapenda masista duu nyie ndo mana moto unawawakia. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke zingatieni hilo.
Ilipaswa amuachishe,na amtengenezee biashara za kuwa eneo moja kila sikuSasa kamkuta na hiyo kazi angemuachisha?
Kwa wewe ambae unapiga na kusepa haina shida , nawazungumzia waoaji waangalie na wanawake wa kuoa sio kila mwanamke ni wa kuweka ndani.Tatizo tako na rangi besty...wee unaona mrembo anavyo meremeta...sasa huo upaja unauachaje jamani
Sijui kwa Nini huwa nawaogopa Sana wanaume wanaofuga ndevu hivi,halafu awe mkimya!Wana maamuzi mabovu sana
Tabia ya mtu ni kama ngozi, kama ni umalaya angeufanya tu hata hapo hapo anaposhinda.Jamaa Alizingua toka mwanzo.Ilipaswa amuachishe,na amtengenezee biashara za kuwa eneo moja kila siku
Watu wakimya hawafai kabisa wanarundika mavitu moyoni hawasemi siku ya siku yanatokea kama yaliyotokea.Sijui kwa Nini huwa nawaogopa Sana wanaume wanaofuga ndevu hivi,halafu awe mkimya!Wana maamuzi mabovu sana
Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!Unaoa mwanamke mzuri na maarufu afu bado unamuacha aendelee na biashara zake za kusafiri safiri,jamaa jinga sana
Kumbe mrangi. Eeehhh ndio zao.Huyo ni mrangi wa kondoa,mama yk ni shangaz yangu