Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Vijana watafutaji na wadogo zetu mliopo kanda ya ziwa mnatushangaza asilimia kubwa.

Vijana waliopo mkoani tena kanda ya ziwa kiukweli wamaebarikiwa kwa utafutaji swala la madini na kuwa na ukwasi mkubwa wapesa hata ukumiliki silaha.

Tambua silaha hapa bongo umiliki kama pesa sio nzuri ndio sheria yetu inavosema labda kwengine. Vijana wa kiume sio kila mwanamke mzuri wa kuoa kama utokubariana naye maana umepanda muwa shule ya msingi.

Sina maana mbaya ila kukubaliana kuwa mtawezana kwa lolote. Nafahamu au tunajua kuwa pesa ndiyo inawaleta watoto wa zuri na hana mwanamke mzuri anayependa maisha mabaya.

Ila sio kwamba usio mwanamke mzuri bali ni mtawezana. Swala la jamaa huko Mwanza kumpiga risasi mke wake ukiangalia kiufupi pande zote mbili hata umri na mali ndio vimegeuza vifo vyote vya hawa kwa kutafakari kwangu.

Tuje kwenye umri. Umri wa huyu mwanamke ni 28 bado kumbuka ajakubari kuwa kaolewa na mtu aliyetakiwa kukubari masharti na sio mtu wa mitandao ndio maana tumeweza kujua uzuri wake kupitia humo.

Maisha na umri yake bado ya kula ujana ndio maana hata kama mume alitaka yakomee hapo. Mali zilizopo ndio tatizo maana mda wa kutumia nguvu hakuna na kutokana na ponda rahaa pesa hipo inawezekana kupelekea haya na wote kupata umauti kwa sababu mali ndio imeleta silaha aka manati ya mzungu. Mali imefanya ubabe kujengea uzuri na kiburi.

Ni hayo tu.
 
Muhimu ni kujitambua,ndoa ni sacrifice haiwezekani uingie ndoani na uishi kama single lazima mtashindwana tu...

Lakini ni muhimu kabla ya ndoa uhakikishe umemaliza bata zote na unaingia ndoani kutulia.
Una focus project za familia nk huwezi kupata muda wa kwenda show za diamond nk
Ndoa inahitaji ukomavu wa pande zote mbili
Umalize bata zote hiyo mbususu itakuwa katika hali gani ?🤣🤣🤣🤣
 
IMG_7266.jpg

IMG_7267.jpg
 
Hua sipigi simu zaidi ya mara mbili kama hatuna appointment.

Napiga mara moja. Nakaa saa mbili napiga tena.

No response? Naacha text "Hope you are fine. Please call me back"

Unapiga simu 42 times? How?

Ladies if a nigga beats you mteme. Over time that fool will see the beating ain't enough.
Jamaa alikua mwehu.
 
Ni wakati pia wakusaidia malezi na kuwafundisha kitu vijana wetu wa kike na vijana wetu wakiume..

Wakikua kila mmoja akijua nafasi yake tunaweza kuepusha haya siku za usoni, akina mama wafundishwe kutunza waume zao, kuwavumilia waume zao, kulea familia....Akina baba wafundishwe kutunza familia zao, kulea familia zao na kuchagua machaguo yaliyo bora kwao...
 
Machaguo yenu ndio mabovu,si mnapenda masista duu nyie ndo mana moto unawawakia. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke zingatieni hilo.
Tatizo tako na rangi besty...wee unaona mrembo anavyo meremeta...sasa huo upaja unauachaje jamani
 
Back
Top Bottom