Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee bikra leo hii ndio wataka kuja kutuambia kuhhusu ndoa....ebu wacha kwanza wanaume wapapasa tako skonsi hilo
Sasa nawe haujui kuhusu ndoa usichukulie poa mzeya,,

Oa ujionee
 
Sasa nawe haujui kuhusu ndoa usichukulie poa mzeya,,

Oa ujionee
Wewe ndoa ni taasis na kila taasis ina kanuni zake. Kanuni ya kwanza ni mume na mke wakutane wakiwa bikra. Sasa wanawake tunaoa wakiwa breki pumbuz alafu unategemea kuwa ndoa itadumu...huko ni kujidanganya tuu.

Mie nitakuwowa weye nienjoy tako skonsi na ninakupa uhuru wako wakumpa mbususu yako mwanaume mwengine na wala sitakuacha
 
Flat moja nyeusi😀
 

Umejua kutusema aisee
 
Wewe ni bikra??
 
Ndio muache kukuza kwamba kala hela zake,Kama hata mafuta alishindwa kumuwekea Sasa pesa ipi mnayopigia kelele hapa.... Huyo jamaa yako alikuwa na matatizo ya afya ya akili.Ova!
Tutaaminije kama ni kweli gari haikuwa na mafuta au ni ngebe za huyo Swalha?
 
Huyu marehemu mke anaonekana alikuwa mswahili sana...kufuga mke mswahili kazi sana...
Inaonekana pia jamaa ndo aliyemfanya ang'are na kuonekana mtu mbele ya watu ndo maana alipata sana hasira pale anapoletewa kibri. Siku zote penye ubaya wema ulitangulia.
ukiangalia vizuri picha za sebleni kwake ambapo kuna damu damu zimetapakaa inaonekana wazi huyu dada hakuwa mtu anayejali nyumba yake badala yake alijali uso wake zaidi na mavazi ya nje. Kweli kwa familia yenye hela za kutosha ile ni sofa ya kuweka sebleni? Hadi imetoboka?? Na pia seble haina mpangilio wa kueleweka ...Kwa mwanamke anayejua wajibu wake kwakuwa hela sio tatizo angeitendea haki ile sitting room..
Mapambo ni hela na kama hela ipo why usiitendee haki nyumba yako kama mke.
Marehemu hasemwi ila huyu dada anaonekana alimsumbua sana huyu kaka...na hakuwa material ya kuolewa.
Seble nzuri kubwaaaa ila ipo ipo tu
 
Ina maana jamaa hakuwa na akili ya pili kusepa hata Kenya huko ama South Sudan ama Ukraine ikibidi kujiu soo sana!
 
Mke alikuwa mswahili,hauni ata mazingira ya kwao??
 
Wewe ungeipambaje mrembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…