Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Uko sahihi wengi wa kawaida tu ila gubu kiburi hasira yaani tabia za hovyo ata kama ni mimi risasi inamhusu yani huwa spend kupandwa kichwani mwanamke ni mwanamke tu jinsia ile ile ya kike sema tofauti uzuri rangi na tabia lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi wanatabia za hovyo sio wazur wa sio wabaya wote wamo humo humo ndo maana tukaambiwa tuishi nao kwa akili
Mkuu kuna wanawake ni wa kawaida sana, il nyumba inakuwa kama mko Ukraine, yaani ni moto kila siku. Wengine tuko nao kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 ila unatamani sijui uhame tu umuachie hayo makazi.

Mkuu kuna wanawake ni wa kawaida sana, il nyumba inakuwa kama mko Ukraine, yaani ni moto kila siku. Wengine tuko nao kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 ila unatamani sijui uhame tu umuachie hayo makazi.
 
Inawezekana ni kweli alitumia nguvu nyingi za kipesa kuwa na huyu mrembo ila watu wanaofanya kazi za uvuvi huwa wanaamini pesa inaweza fanya chochote kwa mwanamke
 
Wewe ungeipambaje mrembo?
Najua ningefanyeje kama ningekuwa na hela za kutosha. Watu wa decor si wapo...hata sofa nzuri mjini si zipo
Demu aliwekeza sana kwenye muonekano kuliko mazingira ya nyumba huo ndo ukweli. Ma ndo maana wakawa wanagombana kila mara na mume wake. Wanawake ifike mahali mbali na kuhangaikia wix kwa Joan tuhangaikie pia tunapolala na kuishi
 
Mimi ni mwanaume ila umeongea sahihi, wanawake wote ni warembo..hata ukimchukua kijijini huko ndani ndani..mkaishi vyema na pesa na anakula vizurii anabadilika kabisaaa.

Uko sahihi, hakuna mwanamke mbaya..ni maisha tu.

Hata hao, walipokutana walikua kawaida tu..
 
Usitupange bhana.. wanawake wazuri wapo na wabaya wapo mkuu kunawanawake bila hata pesa anapendeza ha na mafuta ya samli tuu wengine wako na pesa lakini bado hawavutii kiivo..

Kimsingi kila Mtu Mungu alimuumbia mtu wakupenda unconditionally.. ila sisi huwa ndo tunakaza shingo kujifanya tunatafuta tunaowataka sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado hamjakua nyie wala Hamna history ata za dini [emoji1545]
Wewe mwenye historia za dini mbona umebaki na kejeli badala ya kufundisha acha porojo mzee mimi ni nyani niliekwepa mishale mingi so huniambii kitu
 
Mke alikuwa mswahili,hauni ata mazingira ya kwao??
Umeona eehh
Yani alomtoa from zero halafu alipojua kuoga na kupaka wix akajifanya nunda...hasira hadi za kupiga risasi zina sababu..sisi watu wa social lazima tuziangalie kwa jicho la ziada na sio sababu rahisi eti "wivu" ...
Hapana nakataa. Hesabu zilipigwa kuhusiana na sacrifices jamaa alizofanya katika kumbadilisha na kumheshimisha akaona hata akimuacha ataumia...mwisho akaua.
Ndugu yangu DeepPond unadai hiwez Acha mchepuko wako na huwezi ruhusu aliwe ukiwa hai...jifunze usije kuishia huku
 
Ah wee huo muda wakuhangaikia sebule ataupata wapi wakati yupo busy kwenye simu anangalia wangapi walike picha instagram na wangapi wanatuma miamala ili wale utamu.

Mtamulamu bure tuu. Ukiwa pisi kali usubufu toka kwa wanaume upo mwingi huo muda wakuupamba nyumba wa nini wakati jamaa wanataka kukulaza hotel kali kali huku wakikupelekea moto
 
Hahaaa...unajitoa ufahamu nadhani. Wanawake utaacha wangapi,kuna muda majibu yenu humu yanakuwa na maswali mengi? Mkuu umeoa?
Nina familia kubwa kuliko unavyodhani, ila sio mada hapa, nachosema mwanaume jaribu kuwa makini wanaume makini sio rahisi kuumizwa, mtu ana calculate risk mapema sana mnajifanya mnajua kupenda mpaka mnajitoa uhai hizo ni akili sasa, kwahiyo na wewe akili yako ndiyo imewaza hivyo kuwa pisi ikizingua unajilipua akili za waoi hizi, chagueni size zenu vijana
 
Mbona demu ni wakawaida sana,au hiyo rangi ya kirangi inawazuzua??
 
Hapa umetumia akili,hisia au utashi?
 
Mbona demu ni wakawaida sana,ua hiyo rangi ya kirangi inawazuzua??
Wee kwaninwakawaida hatombwiii?
Rangi ya chai ya maziwa ndio yenyewe yaani vutia pia na mbususu imepigwa wax wee ukimwagia asali inateleza tuu wee kazi yako ni kulamba tuu
 
Huna akili, we umeambiwa mkewe sasa hiyo appointment ya nini??
 
Kuweni na kauli juu ya wake zenu, wewe ndiye mwanaume. Usiruhusu ujinga kwako ukadhani ndio mtaishi kwa amani. Mwanamke akileta upuuzi....kuwa mpuuzi Mara saba zaidi yake.
Inategema mnaishije wewe nikuambie tu sio kila mwanaume ndoa yake imemshinda wachache tu ndiyo tumebarikiwa utashi huo,tambua akili ya mwanaume ndiyo itamfanya apate mwanamke anaemstahili na kumheshimu , we endelea kuwaza upupu huo, hakuna kiumbe dhaifu kama mwanamke na ukiwajua ndiyo kabisaaa, unaweza kuona njia zangu ni potofu kama wenzako walio coment huko juu lakini ni njia bora sana hazijawahi niangusha naelewa misimamo yangu na namna navyoitumia kuishi na mwanamke alienizalia watoto wanne, njia zisizo na purukushani zaidi ya upendo, maelewano, hekima, utashi na kumkaribisha na Mungu katika kila jambo, hivi nani amekuambia ndoa ni uwanja wa vita mnafeli sana vijana na mnadanganyana eti kuua ndiyo uanaume, kama amekushinda nakushauri tafuta unaemmudu, usiwe kama gari bovu kijana wangu
 
Labda huko ulaya kwenu. Narudia tena usiruhusu ujinga katika ndoa.
Ulaya wapi mzee, nipo bongo hii hii, wewe waona ni ujinga kwakua umejaza ujinga akilini mwako kwahiyo perception zako haziwezi kuwa sawa ni za kihalifu , badili mtazamo utaona mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…