Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Uko sahihi wengi wa kawaida tu ila gubu kiburi hasira yaani tabia za hovyo ata kama ni mimi risasi inamhusu yani huwa spend kupandwa kichwani mwanamke ni mwanamke tu jinsia ile ile ya kike sema tofauti uzuri rangi na tabia lakini ukweli ni kwamba wanawake wengi wanatabia za hovyo sio wazur wa sio wabaya wote wamo humo humo ndo maana tukaambiwa tuishi nao kwa akili
Mkuu kuna wanawake ni wa kawaida sana, il nyumba inakuwa kama mko Ukraine, yaani ni moto kila siku. Wengine tuko nao kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 ila unatamani sijui uhame tu umuachie hayo makazi.
Mkuu kuna wanawake ni wa kawaida sana, il nyumba inakuwa kama mko Ukraine, yaani ni moto kila siku. Wengine tuko nao kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 ila unatamani sijui uhame tu umuachie hayo makazi.