G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Una uhakika gani alienda concert? Mwanamke anayekuheshimu lazima arespond kwa wakati hata ukimpigia simu. Mume anatoa ultimatum kuwa mke asitoke mke akishindwa kutekeleza ni sawa na mwanajeshi anaesaliti kambi. Mume alikuwa na wasiwasi kwanini simu hazipokelewi af lately mama mkwe anapokea na kusema eti binti yake alikuwa amelala. Kimsingi jamaa alishaona mama mkwe na mwanae wanamchezea shere!Ndoa hizi zinahitaji AKILI kuzimudu. Hivi kama mme( hata kama hana interest ya kwenda) ukanunua tickets 2, mkaenda na mkeo, ukavumilia, kingeharibika kitu?. Huyu mwanamme hamwonei huruma mama yake? Is it worthy kwenda jela/ kujiua sababu ya mkeo kwenda concert?
Mwanamke wako anaekupenda hawezi kufanya bullshit hata siku moja na anakuwa na hofu kwenye hilo eneo. Mke anaonekana alikuwa na backup ya mama yake kuwa akifanya utumbo mama yake anamkingia kifua tu as if mwanae ni malaika. Mwanamke akikubali kuolewa automatically baada ya mkataba ni mali ya mumewe kwa shida au kwa raha na hata baba yake akimtaka mtoto anafanya kumuomba wala hana mamlaka nae mume wa binti akikataa. Hata kuzika nazika napotaka mimi kwa maana tayari ni mke wangu na mali yangu until further notice.