Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Sasa ndo amejua hajui
Ila yule kaka alikuwa haendani na mdada basi tu mdada alikimbilia hela inavyoonekana ili apunguze makali ya umasikini. Mdada wanaume wake huenda ni diamond type ...[emoji1787]
Sasa utamtiije mtu usiyempenda?? Utamnyenyekea vipi mtu ambaye uko kwake tu kutimiza malengo yako?
 
Wanawake kujifanya hamsikii, haiwasaidii wala haiwajengi....

Kama unataka ndoa tulia na heshimu mume wako,,,Otherwise endelea na udangaji na hakuna atakayeshughulika na wewe...

Vijana kila siku tunawaambia achaneni na maswala ya KUOA,,, ikiwa unaona bado haujawa tayari kuhimili ufalla wa mabinti...

Mwenye akili na asikie maneno yangu,,,Usipoelewa hapa basi subiri Mazingira yakufunze.
 
kuna ka feeling flan mke unakapata pale unapoambiwa nipikie nije kula😆😆

wallahy, unajihisi we ni mwanamke special

utawahi sokoni chap, uje ukae jikon mwenyewe...

lkn ndo hvyo watu tunatofautiana
Hmmh, au wewe ni mke wangu tunapishana humu kwenye fake Id's? Yule mwanamke anajiongeza sana aiseeh.
 
Kuna mwanamke kweli haolewi kwa ajili ya mtelezo wa maisha? Vibomu visingekuwepo
 
Kuna gharama ya kila matendo unayofanya, lazima ndugu zetu wajue pia kuna gharama ya huu udangaji...hasa kwenye kupenda mali za bure kwa kigezo cha mahusiano.... Mhusila akijua kama uko for business na hauko tayari kuwa mtiifu lolote linaweza kutokea..

Wapo wengine anaweza kukutoa hata kafara kwenye biashara zake na watu wasijue umefia wapi kumbe analipa kisasi....jamaa angeweza kumtoa hata chambo huyo dada kwenye mitego yake ya samaki akapiga hela kwenye mitumbwi huko.....
 
Halafu unaokuumiza ni mdabwada,
 
daah nimeona picha za mwili wa baharia mwenzetu,aisee na denge lake linawaka vile vile,msumari umeingia kidevuni na kutokea juu kichwani[emoji24][emoji24][emoji24].

inasikitisha sana aisee.
 
Hahahahahah ndio udangaji wenyewe huo sasa, we mtu humpendi unakubalije akuoe!
 
Dahh , unaishije na mwanamke kama huyuu. Shetani kabisaa. Nakupa pole sana jamaa kokote uliko!
Eti kisa linaonekana lizuri , lirembo, wakati hata ndoa ya kwanza ililishinda likaachika,,,,, halafu hilo kabila lake sasa( jamaa hakujiongeza tu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…