Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Sasa ndo amejua hajuiMwenzio kaambiwa asiende mpirani kafosi na siku zote mwanamke ukimkataza asitoke kwenda mahali flani ulipomkatalia kwenda akakaidi au akalazimisha jua hicho anachoendea ni tofauti kabisa na kile ambacho amekisema kama sababu. Mfano kwa huyo Swalha hio siku ambayo alilazimisha kwenda mpirani ama kwenye show kimsingi hakwenda huko.
Kwa sisi wandewa huwa tunaelewa kabisa hio michezo.
Ila yule kaka alikuwa haendani na mdada basi tu mdada alikimbilia hela inavyoonekana ili apunguze makali ya umasikini. Mdada wanaume wake huenda ni diamond type ...[emoji1787]
Sasa utamtiije mtu usiyempenda?? Utamnyenyekea vipi mtu ambaye uko kwake tu kutimiza malengo yako?