[emoji23]Kwa sauti ipi bwana wewe
The greatest Victory is to conquer oneselfdini tunaambiwa mbabe zaidi na mwenye nguvu ni yule mwenye kuweza kuzizuia hasira zake.
Kwanza somo la music nilikimbiaga wakati nipo primary[emoji23]
Wewe eneo lako ni mbususu tu hahaaKwanza somo la music nilikimbiaga wakati nipo primary
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]MWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?
Ata hiyo biology yenyewe sijasoma..ukiniuliza hapa mbususu inachangiaje katika kufanya wadhungu watoke sijui🤣🤣🤣🤣Wewe eneo lako ni mbususu tu hahaa
Jf ni kichaka[emoji23]Inaweza ikawa [emoji23] JF ina mengi.
picha ziko wapi ?daah nimeona picha za mwili wa baharia mwenzetu,aisee na denge lake linawaka vile vile,msumari umeingia kidevuni na kutokea juu kichwani[emoji24][emoji24][emoji24].
inasikitisha sana aisee.
Kumbe umeoa mkuuUtajipa matatizo kaka. Wee mke mwenyewe nimeoa breki mbupu alafu unataka kujidanganya kuwa utamla weye peke....unrealistic expectations
Ndio mkuu nina mke.Kumbe umeoa mkuu
Mkorinto nogesha uzi basidaah nimeona picha za mwili wa baharia mwenzetu,aisee na denge lake linawaka vile vile,msumari umeingia kidevuni na kutokea juu kichwani[emoji24][emoji24][emoji24].
inasikitisha sana aisee.
Huyu marehemu mke anaonekana alikuwa mswahili sana...kufuga mke mswahili kazi sana...
Inaonekana pia jamaa ndo aliyemfanya ang'are na kuonekana mtu mbele ya watu ndo maana alipata sana hasira pale anapoletewa kibri. Siku zote penye ubaya wema ulitangulia.
ukiangalia vizuri picha za sebleni kwake ambapo kuna damu damu zimetapakaa inaonekana wazi huyu dada hakuwa mtu anayejali nyumba yake badala yake alijali uso wake zaidi na mavazi ya nje. Kweli kwa familia yenye hela za kutosha ile ni sofa ya kuweka sebleni? Hadi imetoboka?? Na pia seble haina mpangilio wa kueleweka ...Kwa mwanamke anayejua wajibu wake kwakuwa hela sio tatizo angeitendea haki ile sitting room..
Mapambo ni hela na kama hela ipo why usiitendee haki nyumba yako kama mke.
Marehemu hasemwi ila huyu dada anaonekana alimsumbua sana huyu kaka...na hakuwa material ya kuolewa.
Seble nzuri kubwaaaa ila ipo ipo tu
Comment zako huwa ni kama kijana wa hovyo😊Ndio mkuu nina mke.
Najua ningefanyeje kama ningekuwa na hela za kutosha. Watu wa decor si wapo...hata sofa nzuri mjini si zipo
Demu aliwekeza sana kwenye muonekano kuliko mazingira ya nyumba huo ndo ukweli. Ma ndo maana wakawa wanagombana kila mara na mume wake. Wanawake ifike mahali mbali na kuhangaikia wix kwa Joan tuhangaikie pia tunapolala na kuishi
Kweli mkuu. Ndio maana kuna kamsemo tunasemaga 'WIFE MATERIAL'. Sio kila mwanamke ni wife material, wengine wameletwa duniani kwa ajili ya kuburudisha tu. Piga kisha nenda zako.Mwanaume kamili lazima ajue kutofautisha kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kupita tu.
Mwanamke akishakuwa star ni ngumu sana kumhendo. Wanayaweza wenzetu huko duniani.Kama ukiwa na wivu wa kijinga kama huyu jamaa yetu mvuvi, alitakiwa ampe kazi nyingine ya kufanya huyo mwanamke
Pains and pleasure na kitu na kivuli chake mkuu. The more pleasure the more pains ikienda vice versa. It's like two edged sword. Kwa wale wa trading ni Kama risk na gains ziko proportion ama leverage ilivyo. Uko risk more ni rahisi unapoteza Sana na faida ivyo ivyo kuipata.Anaekupa furaha ya moyo leo kesho anakuumiza.
Usiweke tumaini lako kwa mwanadamu. Pili usiendekeze hisia.