Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Sema bana mie mtu akiwa anamuoa mwanangu namwambia ukimchoka akikushinda ukipata mzuri nje kuzidi huyu mwanangu mrudishe nakuomba Sana basi. Nakuomba usije ukampiga hata Kofi Mana hapo ni dalili za bastola. Na mahari siombi namwambia ni zawadi Sasa zawadi hupangiwi kuwa utatoa Nini na kiasi gani. Ama namwambia kuwa kaishi naye utakuja kutoa mahari baada ya 20yrs Mana hapo ndipo nitakuwa nimekujua Kama unampenda hapa Kati ukimzingua anarudi kwangu Mana humdai chochote.
Na nimetanguliza wa kike jamani.
Smt wanaume gharama kubwa Sana huwa zinatuuma so naelewa maumivu yetu yalipo.
 
Anaekupa furaha ya moyo leo kesho anakuumiza.
Usiweke tumaini lako kwa mwanadamu. Pili usiendekeze hisia.
 
daah nimeona picha za mwili wa baharia mwenzetu,aisee na denge lake linawaka vile vile,msumari umeingia kidevuni na kutokea juu kichwani[emoji24][emoji24][emoji24].

inasikitisha sana aisee.
Mkorinto nogesha uzi basi
 
Huyu marehemu mke anaonekana alikuwa mswahili sana...kufuga mke mswahili kazi sana...
Inaonekana pia jamaa ndo aliyemfanya ang'are na kuonekana mtu mbele ya watu ndo maana alipata sana hasira pale anapoletewa kibri. Siku zote penye ubaya wema ulitangulia.
ukiangalia vizuri picha za sebleni kwake ambapo kuna damu damu zimetapakaa inaonekana wazi huyu dada hakuwa mtu anayejali nyumba yake badala yake alijali uso wake zaidi na mavazi ya nje. Kweli kwa familia yenye hela za kutosha ile ni sofa ya kuweka sebleni? Hadi imetoboka?? Na pia seble haina mpangilio wa kueleweka ...Kwa mwanamke anayejua wajibu wake kwakuwa hela sio tatizo angeitendea haki ile sitting room..
Mapambo ni hela na kama hela ipo why usiitendee haki nyumba yako kama mke.
Marehemu hasemwi ila huyu dada anaonekana alimsumbua sana huyu kaka...na hakuwa material ya kuolewa.
Seble nzuri kubwaaaa ila ipo ipo tu

Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
 
Najua ningefanyeje kama ningekuwa na hela za kutosha. Watu wa decor si wapo...hata sofa nzuri mjini si zipo
Demu aliwekeza sana kwenye muonekano kuliko mazingira ya nyumba huo ndo ukweli. Ma ndo maana wakawa wanagombana kila mara na mume wake. Wanawake ifike mahali mbali na kuhangaikia wix kwa Joan tuhangaikie pia tunapolala na kuishi

Nitumie picha pm nami nione
 
Mwanaume kamili lazima ajue kutofautisha kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kupita tu.
Kweli mkuu. Ndio maana kuna kamsemo tunasemaga 'WIFE MATERIAL'. Sio kila mwanamke ni wife material, wengine wameletwa duniani kwa ajili ya kuburudisha tu. Piga kisha nenda zako.
 
Anaekupa furaha ya moyo leo kesho anakuumiza.
Usiweke tumaini lako kwa mwanadamu. Pili usiendekeze hisia.
Pains and pleasure na kitu na kivuli chake mkuu. The more pleasure the more pains ikienda vice versa. It's like two edged sword. Kwa wale wa trading ni Kama risk na gains ziko proportion ama leverage ilivyo. Uko risk more ni rahisi unapoteza Sana na faida ivyo ivyo kuipata.
Angalia demu unayempenda ama mtu yeyote unayempenda ndiye anayekupa maumivu.
Pains is love ja rule aliimba.
Ukioa mzuri kubali kuchangia na wenye kisu kikali Kama Malaya wanavyojitapa wanahalalisha njaa zao na umasikini wao wa kut00mbwa kisa Cha njaa zao. Ila hpa sidhani Kama binti wa kikwete atakuambia haya. Kumbuka hapa ni umasikini unamsumbua Mana ama scarcity na materials things pia hajawahi zunguka viwanja na amiliki magari so shobo Kama zote. Ukikodi gari tu umempata
 
Back
Top Bottom