Kijana wa hovyo kivipi tena wakati comment zimeenda shule kabisa na zinaongelea uhalisia wa mamboComment zako huwa ni kama kijana wa hovyo😊
ndio ila kwenye hayo mambo hata wanaume wanakuwa victim pia, ukiua au ukimuumiza mke aliyekutenda vibaya, wewe either utajiua, utafungwa, utauawa au utaishi kama mkimbiziMimi nipo hapa kuwakumbusha wanawake wasiingie kwenye mahusiano kufata hela za wanaume ili yasiwakute haya maswaibu, kama humpendi mtu mchane mapema kabisa aondoke na hela zake...sio mtu anajenga kibanda.
Kama issue ni kutafuta hela hela kupitia mapenzi wauze miili yao moja kwa moja ili tuwanunue, au date na watu unaotaka ila sio kukimbilia kwenyr ndoa.
Nakuelewa mkuuKijana wa hovyo kivipi tena wakati comment zimeenda shule kabisa na zinaongelea uhalisia wa mambo
Ni wachache wanaojitambua. Wengi wao akijiona sura, figa nzuri basi yeye ni matawi ya juu.Mbona wa hivyo wengi sana kitaa, yaani mwanamke ana hela ya maana lakini atabaki na mvuto kwa mume wake tu
Ndiyo uaache uhuni wakoNdio mkuu nina mke.
Wanajisahaulisha tukio la neema mushi wa kimara kumchoma visu then moto umo ndani ....ukiingia 18 za mtu hutabaki salamandio ila kwenye hayo mambo hata wanaume wanakuwa victim pia, ukiua au ukimuumiza mke aliyekutenda vibaya, wewe either utajiua, utafungwa, utauawa au utaishi kama mkimbizi
so wakati wanawake wakiwa na madhaifu yao, ni vizuri pia wanaume wakajua hatua za kuchukua ili wasiathirike na hayo madhaifu ya wanawake
Mapenzi hayana 4mula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ule msemo kwamba PENYE PESA WAREMBO HUTULIA sio kweli??!!
Wewe ukiacha kutomber nje utakufa kwa stress nakwambia🤣🤣🤣🤣Ndiyo uaache uhuni wako
Kiwasi wewe
Basi itoshe kusema kuwa jamaa kimbelembele chakeHuyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
So what? Mwenzenu kapata faida gani sasa?mama zao wanakua wanajua kila kitu kenge hawa eti alikua nyumbani saa sita usiku sijui alikua anafanya nini ?[emoji848]
yaani hakuna kitu kinauma kama mwanaume unawekeza kila kitu hadi maisha yako kwa mwanamke halafu bado anamegwa kama kawaida yaani
nisikuchape chuma mi nani ?
Said alivamia mfupa uliomshinda fisi.Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
Anakufuru huyu jamani.Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!? Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
Wanaume kama nyie ndo mnakutwaga mmejinyonga na kamba hadi mmejinyea[emoji57][emoji57]bora uwe maskini kama mimi kuliko kuwa na pesa nyingi zikakusumbua..
Jamaa anaua alf anajiua kizembe sana....yaan mi niache ugali na dagaa kisa mabususu? Ladb mi sio mnyamwezi
[emoji23]Wanaume kama nyie ndo mnakutwaga mmejinyonga na kamba hadi mmejinyea[emoji57][emoji57]
Dem mbaya akiliwa haiumi sana. Unamdharau tuWazuri sura personal wote wanatombekaa tuu kaka
Mwamba si unaona wanasema alikuwa na mazoea ya kufyatua Risasi nyumbani kwake ,huenda hakuwa timamu muda mrefu tuJamaa angekuwa Smart ange move on.
Wakati mwingine ushamba nao tatizo.
Siyo kila mwenye pesa ni Mjanja.
Sasa hapo ndiyo ilikua sehemu nzuri ya kumpiga kibuti na a move on na Maisha yake mapya! Hata Kama kawekeza sana,asingeogopa kupoteza na kuanza upya,yeye ni mfanyabiashara na kawaida ya mfanyabiashara aliye kwiva hua haogopi Madeni au hasara,, na kuanza upya!!!!Watoto hawawezi kukuelewa, hapo hapakuwa na mpira wala show.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Said alivamia mfupa uliomshinda fisi.
Tatizo lako ni kwamba una wivu wakijinga. Kwani wanakuona loser yaani kisa wamemtomba mwanamke ambaye yupo duniani kutombwer🤣🤣🤣🤣🤣 wee jamaa u need to get ur priorities straitDem mbaya akiliwa haiumi sana. Unamdharau tu
Ila hizi pisi kali sasa. Wanamla na kumuacha huwezi utaonekana loser.
Hebu fikiria!alikuwa na akili gani sijui😁😁😁😁Kwanza amekufa ameziacha hizo pesa, sasa si angemuwekea mafuta tu mwenzie ... 😁 😁 😁