Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mvuvi wa Kikurya?
Huyu mrembo asiye wa Tarime na Ukerewe alikua anafikiria nini kuolewa sehemu ambayo mwanamke kupigwa ni sifa? 😎
 
kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda
Hapo Visa waachane Mana ataachiwa Mali ili akale maisha na huyo wa zamani
Kaka nakuheshimu tukubaliane jamaa aliongozwa na emotions kisa Ana pesa hakuchukua muda kumcheki Kama ni mke mwema.
Mtu ameshafanya kazi Vila hujashtuka tu kweli.
Yaani bro alijua pesa ndio inayonunua upendo,binafsi sipendi kutumia pesa kupata upendo Kama ni ngono naamini nitapata Kama ni upendo nakuwa choka mbaya Sana. Kwanza jamaa angejufanya amefukuzwa kazi.
Yaani mwanaume hatafuti mwanamke atakayemlea Kama mama yake. Hana uhakika Kama akilazwa hospital five years huyo mke atakuwa naye bega kwa bega.
Kwa kweli mie kuoa nilisikiliza wazee pia nilijionea kwa baba zangu walioa kisa sex pleasure walipoishia.
Binafsi sipendi yaani sipendi nipendwe kitu kwa kweli Kaka mshana.
Yaani jamaa hakuwa na uelewa na Hawa viumbe.
Kuna ke 1 nishawahi ikuta pale kisongo kwa bar moja ivi ni ya kimbulu aisee unaweza ukaoa.
Huyu alikuwa anatumia mwili wake kuishi Wala Hakuna lolote anajidai kuwa amezoea kupambana pia hapendi kuona mtu anayetegemea mtu kuishi.
Hawa ndio wale wanaoua mme ili waishi kwa Bata wanalotaka.
Aisee ngoja nizidishe upendo kwa mama robhi wangu.ila vyombo Kama ivi unakula unaacha basi na bro na wewe upumzike Ila soio wa kuweka ndani
 
Usipende mambo yakukopi na kupesti
 
 

Attachments

  • 6c3bace3430f4b19b7d617f159db15a1.mp4
    813.6 KB
Sawasawa...
 
Mimi sikatie wanawake ni viumbe kama wakiamua basi utajuta kuzaliwa lakini pamoja na yote nini matokeo ya haya? utamuuwa halafu wewe nini utapata? Huyu kafanya alilofanya kashindwa kuhimili pressure kajipiga risasi mwenyewe faida gani? unaweza kuumizwa sana lakini iko siku unaweza kukutana na mwanamke mwingine ukajiulizia nilimpendea nini yule shetani. Hasira mbaya sana.
 
The guy was in love...😭
He was in really deep love but was totally opposite to her chick wife.
Nachoshukuru mke wangu ananiheshimu Kama babaye. Kwanza huwa namwambia kuwa mie ni zaidi ya baba yako Mana nakupatia mahitaji uliyokuwa unapewa home na kingine ulivyokuwa hupati home so yabidi heshima iwe maradufu.
 
Niliwahi simuliwa na mzee wa makamo,enzi za mkoloni ukifika dodoma unakuta matangazo yamebandikwa eti "Ukichukua mwanamke mrangi litakalokupata Ni juu yako"jamani nilishangaa Sana sema yeye alijumlisha uhuni na ushirikina wao..
 
Jamani kama ni hivyo tukikataliwa tu au wanawake wetu kucheat basi tunauwa nadhani kila siku tungekuwa tunazika. Hawa mpaka kukubali kufunga ndoa ina maana wamepitia mengi na mwanamme hata kama unapenda basi isiwe tena maisha ya mwanamke yakawa na thamani kuliko uhai wako. Ndoa ngapi zinavunjika? watu wangapi wanaachwa huku bado wakipenda? lakini kufikia kumpiga tena risasi halafu na wewe ujipige hapa mimi naita ujinga huna busara kwa tabia hizo mwanamke ilikuwa rahisi kuona nje kuna waungwana sio mwanamme kutwa vitisho na bastola, ni upumbavu
 
Hii ndio point, Huyu mwanamme hakuwa anajiamini huwezi kumpigia mtu simu mara 37 mara mbili tu nyingi kwani kama mtu anataka si ataona missing calls zako mimi hata kama sio mwanamke sipigi simu zaidi ya mara moja najuwa ataona tu. Huyu jamaa alikuwa anaisha na mashaka hajiamini utapigaje simu mara 40 kama sio ujinga huo. Mke wangu nampigia mara moja tu najuwa ataona call yangu ila kama itapita masaa ndio nitamuuliza imekuwaje.
 

Mkuu usihukumu, kufanya kazi Villa sio sababu mtu asiolewe...tatizo la ajira ni kubwa kwetu nchini ...lol...

Nakubaliana na wewe, pesa hainunui upendo, ila hii tactic ya kutumia pesa kumpata/kumshawishi mwanamke awe na nyie, mnaitumia sana wanaume, hasa wale wenye wanaona hawana ushawishi zaidi ya huo wa pesa au wanaona wanaweza wakampata mwanamke yoyote wanayemtaka sababu wana pesa....

Unfortunately wanaume wengi wanaoa for sex pleasure, akiona hapati sex anatafuta nyumba ndogo, wachache sana wanatafuta mambo mengine ila wengi ni sex tu huwa wanafuata huko nyumba ndogo...lol..proving nyie ni sex tu mnatafuta,lol

Sijui uaonaje ila kama mwanaume oa mwanamke wa ndoto zako,...kuoa mwanaume sio attractive in your eyes, binafsi naona haijakaa sawa, siku ukimuona mwanamke mzuri lazima ubabaike na ku cheat, sema tujifunze ku balance mambo, oa mwanamke anayekuvutia lakini pia anafit na mambo mengine ... ila sio ku substitute na mwanamke ambaye unaona hakuvutii...kisa tu anakulea vizuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…