The guy was in love...😭Hapa walikuwa malaika. Ilo boya ni malaika swimming pool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The guy was in love...😭Hapa walikuwa malaika. Ilo boya ni malaika swimming pool
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Oooh ushaanza mahubiri Tena?Ni mshamba ndio huwezi kuua mtu kisa mapenzi na ujiue kisa mapenzi.... Rubbish!
Hapo Visa waachane Mana ataachiwa Mali ili akale maisha na huyo wa zamanikaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda
Sawa.Oooh ushaanza mahubiri Tena?Ni mshamba ndio huwezi kuua mtu kisa mapenzi na ujiue kisa mapenzi.... Rubbish!
Usipende mambo yakukopi na kupestiHuyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
View attachment 2245700
Mimi pia nakubali kutokukubaliana na wewe.
Tatizo la kua na mwanamke mmoja tu ni kwamba utajikuta ume invest sana kwake, sio tu financially lakini pia psychologically. Yaani itafikia hatua unakua dependent kwake kiasi cha kuanza kuona kwamba bila yeye maisha hayaendi! Nahiyo ni hatua ya hatari sana ambayo ndio inapelekea mpaka mtu kutoa uhai.
Kamwe mtu mwenye plan B, C nk hawezi kufikia state hiyo asilan
Sawasawa...Huyo mume kwa Nini apige simu Mara 42 sijui 37?inahisi Ni mzima kweli?Mimi sikatai Kama huyo demu alizingua Sasa ndio amuue na yeye ajiue?huyo Ni ujinga na ushamba wa Hali ya juu Sana.....angemuacha angepata mwanamke mwingine tu fasta dunia has a lot to offer
Halafu ndio usikie kitu chako kizuri kinaliwa!!?Nyakati za kukumbukaView attachment 2245725
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Mapenzi yanauaView attachment 2245701
Mimi sikatie wanawake ni viumbe kama wakiamua basi utajuta kuzaliwa lakini pamoja na yote nini matokeo ya haya? utamuuwa halafu wewe nini utapata? Huyu kafanya alilofanya kashindwa kuhimili pressure kajipiga risasi mwenyewe faida gani? unaweza kuumizwa sana lakini iko siku unaweza kukutana na mwanamke mwingine ukajiulizia nilimpendea nini yule shetani. Hasira mbaya sana.Ukimjua make wako vizuri,yale ya sirini mwake,ambayo ni bayana kwa majirani zako,bodaboda na waendesha bajaji...,hakika yawezekana ukamuuliza mkeo kwa hasira,kwanini anafanya hivyo wakati kilakitu unamfanyia.Wanawake hawa,baadhi yao ni siri tu ndo zinawabeba.
He was in really deep love but was totally opposite to her chick wife.The guy was in love...😭
Niliwahi simuliwa na mzee wa makamo,enzi za mkoloni ukifika dodoma unakuta matangazo yamebandikwa eti "Ukichukua mwanamke mrangi litakalokupata Ni juu yako"jamani nilishangaa Sana sema yeye alijumlisha uhuni na ushirikina wao..Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Mrangi sio wa kuoa
Wanaume sio kila mwanamke ni WA kuoa, wengine piga show halafu lala mbele.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mpwaa!😁😁😁[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hata jina lake.Mke alikuwa mswahili,hauni ata mazingira ya kwao??
Hii ndio point, Huyu mwanamme hakuwa anajiamini huwezi kumpigia mtu simu mara 37 mara mbili tu nyingi kwani kama mtu anataka si ataona missing calls zako mimi hata kama sio mwanamke sipigi simu zaidi ya mara moja najuwa ataona tu. Huyu jamaa alikuwa anaisha na mashaka hajiamini utapigaje simu mara 40 kama sio ujinga huo. Mke wangu nampigia mara moja tu najuwa ataona call yangu ila kama itapita masaa ndio nitamuuliza imekuwaje.Huyo mume kwa Nini apige simu Mara 42 sijui 37?inahisi Ni mzima kweli?Mimi sikatai Kama huyo demu alizingua Sasa ndio amuue na yeye ajiue?huyo Ni ujinga na ushamba wa Hali ya juu Sana.....angemuacha angepata mwanamke mwingine tu fasta dunia has a lot to offer
Hapo Visa waachane Mana ataachiwa Mali ili akale maisha na huyo wa zamani
Kaka nakuheshimu tukubaliane jamaa aliongozwa na emotions kisa Ana pesa hakuchukua muda kumcheki Kama ni mke mwema.
Mtu ameshafanya kazi Vila hujashtuka tu kweli.
Yaani bro alijua pesa ndio inayonunua upendo,binafsi sipendi kutumia pesa kupata upendo Kama ni ngono naamini nitapata Kama ni upendo nakuwa choka mbaya Sana. Kwanza jamaa angejufanya amefukuzwa kazi.
Yaani mwanaume hatafuti mwanamke atakayemlea Kama mama yake. Hana uhakika Kama akilazwa hospital five years huyo mke atakuwa naye bega kwa bega.
Kwa kweli mie kuoa nilisikiliza wazee pia nilijionea kwa baba zangu walioa kisa sex pleasure walipoishia.
Binafsi sipendi yaani sipendi nipendwe kitu kwa kweli Kaka mshana.
Yaani jamaa hakuwa na uelewa na Hawa viumbe.
Kuna ke 1 nishawahi ikuta pale kisongo kwa bar moja ivi ni ya kimbulu aisee unaweza ukaoa.
Huyu alikuwa anatumia mwili wake kuishi Wala Hakuna lolote anajidai kuwa amezoea kupambana pia hapendi kuona mtu anayetegemea mtu kuishi.
Hawa ndio wale wanaoua mme ili waishi kwa Bata wanalotaka.
Aisee ngoja nizidishe upendo kwa mama robhi wangu.ila vyombo Kama ivi unakula unaacha basi na bro na wewe upumzike Ila soio wa kuweka ndani