Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Even worse, he didn’t love himself.
Kweli inawezekana kulikuwa na kitu nyuma,yaani una hela zako unakula chochote unachokitaka mbona unapata mtu mwingine unaweka ndani fasta huyu unaachana naye. Sasa ameacha Mali zote wengine wanaenjoi.
Mana anafanya kazi mgodini na bado akawekeza katk uvuvi. Sema pia hakuweza kung'amua Kama demu anampenda Ile real love.
 
Huo mvuto huwa unaisha ndani ya muda mfupi nikuambie baadaye Tabia ndio inayotengeneza strong bond btn you madame.
Hata huyo wa nje nitakayemuona nikababaika bado nikiwa ndani later atakuwa wa kawaida. Ishu Iko ivi you can't satisfy human ego hata siku moja.
Hata uwe na mzuri gani lazima utatamani nje.
Iko hivi ukiwa na kitu gani kizuri namna gani bado tu baadaye utakiona Cha kawaida utaanza kukiona Cha nje Kama kizuri. Yaani kitu ni kizuri Kama haunacho ama hujawahi sikia kazi ni mbaya ukiwa nayo.
Ukiwa na nyumba hata 800M ya kuishi baadyae utaiona nzuri Tena utaitaka Tena.
Yaani uzuri wa mwanamke huwa sio kitu Kama Hana Tabia nzuri hata ufanyeje.
Nitakulala mwanzoni Ila ukianza kuwa na kiburi unafanya kinyume na ninavyotaka huchukui round labda kama nimekuzalisha nitakuacha hapo na watt nitakuwa naleta matumizi halafu nasepa.
Yaani uoe kwa kucheki uzuri ni Nani alikuwambia uzuri unaishi milele.
Hatukata wapo wanaoa kisa tamaa ya sex ila sio wote.
Mie hata niwe na tamaa vipi na wewe Kama hauna vigezo Basi vya kitabia.
Yaani huwa na project how will you take care of my kids sio kisa tu mie nitakukula.
How will you handle my mom, a lot of Shits Rebecca do you know lakini.
Basi niishie hapa.
 
Ila Mwanza penyewe pamekaa kihatari sana kwenye suala la mahusiano hasa kwa binti ambaye ni kimeo anawaza kuuza mwili...

Mwanza ni centre ya miner wote kutoka migodi yoote ya kanda Ziwa, kuanzia wachimbaji wadogo mpaka wale waajiriwa migodini..
Mwanza ndio sehemu ya wavuvi wote wa visiwani kuuzia dagaa na samaki wao..
Mwanza ndio centre ya wafanyabiashara kutoka Mara, Bukoba, Simiyu nk..
Mwanza pia ni kituo cha wafanya biashara wa Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda nk..

Ukiangalia namna kamji kalivyo na mwanamke akiwa kicheche basi atakuwa busy sana maana kila week lazima apate muwekezaji kutoka kila pembe..

Binafsi miaka fulani nimejionea mengi sana hasa mabinti wa vyuo kama CBE na St Augustino, maeneo hatarishi hapo Kirumba, Vila, Ghana yoote hiyo kuanzia hapo sparrow hotel, kingdom, kuelekea Malaika, Tilapia nk..pale town kati Golden crest, Delmonte nk ni ushenzi kwa kwenda mbele japo mabinti wengi show hakuna...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Umkute dem ambiance, meeda, kimboka, mikasa, makoroboi, msamvu halafu ujifariji utambadilisha unakua hauna akili sawa sawa
 
Kushindwa kujua kama mwanamke anakupenda nalo ni tatizo.

Una akili zako timamu, unashindwaje kujua?
Wanawake ni pretender mkuu kumbuka. Pia wapo wanaume wachache wanaojua saikolojia ya ke.
Namie sishindwi kujua Kama ke ananikubali hata Kama ni mchepuko wangu najua hapa napendwa ama hapa nimezidiwa ni ngono tu napita
 
Lakini sawa, bora ameamua kufa na yeye maana mafuta yamepanda bei sana
 
Mi nimeshangaa Hadi kwenye mechi sijui Simba na yanga Mara UEFA hata sijaelewa.
 
Kwa sasa Tanzania Mwanamke ni kiumbe ambaye yuko hatarini sana japo tunachukulia hili suala kimzaha mzaha sana..

Mabinti wetu wengi wana upeo mdogo sana wa mambo matokeo yake hupelekea wengi kuwa washamba na kuzidiwa kiakili kiasi cha kurubuniwa na kuamini maisha yakufikirika na sio maisha halisi..

KUDANGA imekuwa ni suala la kawaida sana kwa mabinti zetu wakiamini ni sehemu ya maisha na ni suala kawaida kabisa kwao.... hili limepekelea wengi wao kuishi maisha hatarishi sana kwao na wenza wao... Tamaa ya kuishi weekend life kila siku huku wengi wakiwa hawana vyanzo kimapato, hupelekea udhalili kwao na familia zao...
 
We utakuwa sio mzima yaani ni zaidi ya baba yake wakati hadhi yako kwa baba yake mkeo hufiki hata robo.
 
Mke wa MTU ambaye ni pisi Kali, anabifu kubwa Sana na mumewe. Jamaa wivu Kwa kwenda mbele...yaani ukioa mwanamke mkali umeoa presha. Kibaya hata kama una pesa, hata kama unampiga mashine vzr bado atasaliti.

Binadamu anapenda Sana kugongwa au kugongwa nje. Yaani uzinzi uzinzi Kwa kwenda mbele
 
mwanamke akiwa kicheche basi atakuwa busy sana maana kila week lazima apate muwekezaji kutoka kila pembe..
Tena atajisifia kwa wenzake kuwa mie am international ninao wa Kongo Burundi na kweli wakongo wanaofuata dagaa mwanza ni wengi Sana.
Yaani atajitapa Sana.
Ila jamani haya yote tujitahidi Sana kuwapa wa MTT wa kike fani like career yake itakayomsaidia na sio kwenda kwa me kisa umasikini wake.yaani awe na uwezo wa kwenda Bata uk bila ya sponsa. Kama vyuoni watt wetu jamani wanateseka Sana yaani wanapata wawekezaji wengi mno na ukijifanya mzungu ama unaishi nje unataka kusepa naye yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…