Hii sio kabila ya kina Wema? basi jibu tumepata sio kosa lake, wanaume mjifunze na sehemu za kuowa.Kwa kuwa bi dada marehemu alikuwa mnyiramba naomba uzi huu ufungwe.
Mods tunasubiri kazi yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio kabila ya kina Wema? basi jibu tumepata sio kosa lake, wanaume mjifunze na sehemu za kuowa.Kwa kuwa bi dada marehemu alikuwa mnyiramba naomba uzi huu ufungwe.
Mods tunasubiri kazi yenu.
Kweli inawezekana kulikuwa na kitu nyuma,yaani una hela zako unakula chochote unachokitaka mbona unapata mtu mwingine unaweka ndani fasta huyu unaachana naye. Sasa ameacha Mali zote wengine wanaenjoi.Even worse, he didn’t love himself.
Wakawaida Sana,sijaona pisi hapo,View attachment 2245405
Huo mvuto huwa unaisha ndani ya muda mfupi nikuambie baadaye Tabia ndio inayotengeneza strong bond btn you madame.Mkuu usihukumu, kufanya kazi Villa sio sababu mtu asiolewe...tatizo la ajira ni kubwa kwetu nchini ...lol...
Nakubaliana na wewe, pesa hainunui upendo, ila hii tactic ya kutumia pesa kumpata/kumshawishi mwanamke awe na nyie, mnaitumia sana wanaume, hasa wale wenye wanaona hawana ushawishi zaidi ya huo wa pesa au wanaona wanaweza wakampata mwanamke yoyote wanayemtaka sababu wana pesa....
Unfortunately wanaume wengi wanaoa for sex pleasure, akiona hapati sex anatafuta nyumba ndogo, wachache sana wanatafuta mambo mengine ila wengi ni sex tu huwa wanafuata huko nyumba ndogo...lol..proving nyie ni sex tu mnatafuta,lol
Sijui uaonaje ila kama mwanaume oa mwanamke wa ndoto zako,...kuoa mwanaume sio attractive in your eyes, binafsi naona haijakaa sawa, siku ukimuona mwanamke mzuri lazima ubabaike na ku cheat, sema tujifunze ku balance mambo, oa mwanamke anayekuvutia lakini pia anafit na mambo mengine ... ila sio ku substitute na mwanamke ambaye unaona hakuvutii...kisa tu anakulea vizuri....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu marehemu mke anaonekana alikuwa mswahili sana...kufuga mke mswahili kazi sana...
Inaonekana pia jamaa ndo aliyemfanya ang'are na kuonekana mtu mbele ya watu ndo maana alipata sana hasira pale anapoletewa kibri. Siku zote penye ubaya wema ulitangulia.
ukiangalia vizuri picha za sebleni kwake ambapo kuna damu damu zimetapakaa inaonekana wazi huyu dada hakuwa mtu anayejali nyumba yake badala yake alijali uso wake zaidi na mavazi ya nje. Kweli kwa familia yenye hela za kutosha ile ni sofa ya kuweka sebleni? Hadi imetoboka?? Na pia seble haina mpangilio wa kueleweka ...Kwa mwanamke anayejua wajibu wake kwakuwa hela sio tatizo angeitendea haki ile sitting room..
Mapambo ni hela na kama hela ipo why usiitendee haki nyumba yako kama mke.
Marehemu hasemwi ila huyu dada anaonekana alimsumbua sana huyu kaka...na hakuwa material ya kuolewa.
Seble nzuri kubwaaaa ila ipo ipo tu
May you state it just for my own benefitfirst law of nature
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
View attachment 2245700
Wanawake ni pretender mkuu kumbuka. Pia wapo wanaume wachache wanaojua saikolojia ya ke.Kushindwa kujua kama mwanamke anakupenda nalo ni tatizo.
Una akili zako timamu, unashindwaje kujua?
🤣🤣🤣🤣🤣zaman kuolewa/kuoa ilkua sifa nzuri , ila kwa nyakati hiz ata kuku watakushangaa
We utakuwa sio mzima yaani ni zaidi ya baba yake wakati hadhi yako kwa baba yake mkeo hufiki hata robo.He was in really deep love but was totally opposite to her chick wife.
Nachoshukuru mke wangu ananiheshimu Kama babaye. Kwanza huwa namwambia kuwa mie ni zaidi ya baba yako Mana nakupatia mahitaji uliyokuwa unapewa home na kingine ulivyokuwa hupati home so yabidi heshima iwe maradufu.
Tena atajisifia kwa wenzake kuwa mie am international ninao wa Kongo Burundi na kweli wakongo wanaofuata dagaa mwanza ni wengi Sana.mwanamke akiwa kicheche basi atakuwa busy sana maana kila week lazima apate muwekezaji kutoka kila pembe..
Nuzulati Sasa utamu nakupa pia na mahitaji nakupatia hata kuzidi home ulivyokuwa unapata jamani. Haya Kama mie ni robo mbona unatoka kwenu unakuja kwangu kunifuataWe utakuwa sio mzima yaani ni zaidi ya baba yake wakati hadhi yako kwa baba yake mkeo hufiki hata robo.
Okay nimekupata kazi ya reptile brain to make sure I survive at any costSelf-preservation