Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Role models na mamentors wa mabinti wetu kwa sasa ndio hatari yenyewe... Maisha ya wabongo movie yanageuzwa kuwa actual scenes mtaani...

Wadada wakipiga picha dubai,turkey, Hongkong, Macau basi mabinti zetu wanaona yale ndio maisha wanayopaswa kuishi japo vipato hivyo hawana....Huku wengi wao masikini hawajui vipato vya wenzao vinatoka wapi..
Tunaojua yanayofanyika huko Dubai au pale Ghuanzhou, Hongkong na Macau tunabaki kusikitika tu na kumuomba Mungu anusuru hivi vizazi...

Ile route ya Emirates Dar - DXB (sijui kama ipo siku hizi) mkishuka pale DXB mnakuta mko na vidada vidogo masikini vinakwenda kufanya nini nobody knows, akirusi mjini na "Harrier " wenzie mtaani tayari wanamuona role model kumbe, nyuma mbele mwenzao hamna naye hasemi bali ni kutoa Connection wanajiita WAHANGAIKAJI WENYEWE...

Wengine wako pale Instanbull wamegeuka machokoraa mpaka unaukana Utanzania, mwaka jana kuna mmoja aliwehuka pale sijui aliishia wapi masikini....INASIKITISHA SANA..

MABINTI TUACHE TAMAA, TUISHI REAL LIFE, MNADHARILIKA SANA BINTI ZETU na hizi TABIA AMBAZO BIBI ZENU HAWAKUWA NAZO....chupi mkononi muda wote kisa GOOD LIFE na kujifananisha na WANAUME eti mbona wanaume wana wanawake wengi, AISEE...
 
🀣🀣🀣🀣
 

La msingi jamii iwaangalie hawa viumbe kwa jicho kali kidogo maana bongo zao si sawa na bongo za kiume, maumbile yao si sawa na ya kiume...

Wanapaswa kuangaliwa na sio kuachwa achwa tu wanazurulazurula na kujivalia watakavyo kila mahala, hawa viumbe wanahitaji limitations kwenye maisha yao maana bongo zao hazina break kwenye kuyaendea mambo...

Wanapaswa kujua kabisa wao si sawa na MWANAUME....na hakuna kinachoitwa 50/50 na mwanaume zaidi wanahitaji controlling kila waendapo....Dunia inapitia mengi sana sasa kwa kuachia uhuru kwa hawa mama zetu...

Zipo jamii kama Arabs, Indians, Chinese nk bado zipo stricly kwenye maisha ya hawa viumbe japo dunia inapigana nako wafunguliwe...
 

Uzuri unaisha ndani ya muda mfupi ndio uoe mwanamke sio attractive in your eyes?!

Tabia haitengenezi strong bond,chemistry does!..its chemistry between you two ndio itakayokuwa kama buffer kwenye relationship yenu...

Chemistry; wewe anakufeel, attractive, wanted, sexy, yuko contend and feel secured, akiwa na wewe, na wewe pia hivyo hivyo kwake..... sasa one element ya chemistry ikitoka (attractiveness) jua relationship yako iko kwenye vulnerable position.....!!!

I agree uzuri hauishi milele, but so does tabia, is subject to change, mfano leo mimi ni mwanamke mwema.. namlea mama yako vizuri, mama yako labda ni uzee au mimi sizai, anaanza kunichokonoa, bado nitabaki vile vile?? lazima nitachange attitude ama kuanza kumtreat vibaya, tabia yangu ina change.. au mfano wewe una stress kazini, umeanza kunywa pombe na kuanza kutoka na mala*ya wengine, na mimi natafuta attention somewhere else...you see hata tabia nayo inabadilika pia, na ndio maana unasikia huyu zamani alikua muhuni kweli ila kabadilika......lol

Halafu nimesema sio uoe mwanamke mzuri peke yake bali mwanamke mzuri+tabia nzuri, ila usi substitute kamwe na Mwanamke unattractive in your eyes kisa ana tabia nzuri, mta create unhappy home... kwa sababu kama humuoni attractive ataifeel /atajua tu...huwaga tunajuaga..lol...,atabaki hana furaha/ insecured, na mapenzi mmoja akiwa hana furaha, ngumu kutengeneza bond kwenye mazingira ya hivi...usinidanganye..lol

i agree ni ngumu sana to satisfy human's ego...ila tunapunguza chances za kutoka nje hapa..lol...
 
Kuwaacha huru kunawafanya wadai uhuru kila mahala, mpaka kwenye ndoa pia nao wanadai uhuru na 50/50 matokeo yake jamii zinakuza watoto matoy na marobot..

Leo hii Mwanamke yuko busy hawezi kulea mtoto na watoto wanashinda daycare, baada ya hapo bording, wakirudi nyumbani kuna house girl....unaambiwa mama yuko busy anatafuta hela kifupi wote yeye na mume wake wote wamekuwa busy wanatafuta hela ambazo hazijulikana ni za kazi gani....
 

mnhhhh
 
Kama ningeweza kila mwanaume angegawiwa bastola na muda wote itatakiwa ishinde kiunoni, hizi ni harakati za kulinusuru hili taifa.

JokesπŸ˜„
 
Ulaya wapi mzee, nipo bongo hii hii, wewe waona ni ujinga kwakua umejaza ujinga akilini mwako kwahiyo perception zako haziwezi kuwa sawa ni za kihalifu , badili mtazamo utaona mabadiliko
Mkuu,mwanamke haaminiki....hata umbebe mgongoni. Ishi nae kwa machale sana.
Mfn huyo aliyeuliwa amekatazwa kwenda yeye analazimisha so what? She deserved not less than ten bullets za kutoa ONYO. Saba ni chache mno....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…