Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Mwehu mwingine huyo [emoji16][emoji16]Haya ndo tume kataaa next time ni Mtu ana pigwa na RPG[emoji81][emoji81]View attachment 2245810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu mwingine huyo [emoji16][emoji16]Haya ndo tume kataaa next time ni Mtu ana pigwa na RPG[emoji81][emoji81]View attachment 2245810
🤣🤣🤣🤣Ishu sii kuacha wangapi, ishu ipo kwenye kuchagua wa kuoa. Tatizo kubwa la vijana wa siku hizi ni UDOMO ZEGE! Kijana hujui kutongoza, umejawa uoga, matokeo yake unaokoteza okoteza wanawake njiani, bar au mitandaoni. Yeyote anaekukubali wewe unakomaa nae huyohuyo na kung'ang'ania kumuoa!
Kijana kabla ya kuoa unatakiwa uwe umechakata mbususu zisizopungua 50 za watoto wakali! Katika hao lazima utakutana na vichaa, magumegume, ma gold digger na pia utakutana na wife material.. Huu uzoefu utakusaidia sana kujua wewe unahitaji mke wa aina gani?
Sasa unachuja kwenye hao 50 unachagua hapo watatu. Katika hao watatu mmoja ANAEKUPENDA (sio unaempenda) unaoa, wengine unawabakisha kama michepuko! Wife akizingua HUMUACHI, wala hugombani nae, unampuuza ila hasira unaenda kumalizia kwa mchepuko kwa kutembeza gegedo kali.
Utaishi kwa raha mustarehe maisha yako yote.
Tena atajisifia kwa wenzake kuwa mie am international ninao wa Kongo Burundi na kweli wakongo wanaofuata dagaa mwanza ni wengi Sana.
Yaani atajitapa Sana.
Ila jamani haya yote tujitahidi Sana kuwapa wa MTT wa kike fani like career yake itakayomsaidia na sio kwenda kwa me kisa umasikini wake.yaani awe na uwezo wa kwenda Bata uk bila ya sponsa. Kama vyuoni watt wetu jamani wanateseka Sana yaani wanapata wawekezaji wengi mno na ukijifanya mzungu ama unaishi nje unataka kusepa naye yaani
Huo mvuto huwa unaisha ndani ya muda mfupi nikuambie baadaye Tabia ndio inayotengeneza strong bond btn you madame.
Hata huyo wa nje nitakayemuona nikababaika bado nikiwa ndani later atakuwa wa kawaida. Ishu Iko ivi you can't satisfy human ego hata siku moja.
Hata uwe na mzuri gani lazima utatamani nje.
Iko hivi ukiwa na kitu gani kizuri namna gani bado tu baadaye utakiona Cha kawaida utaanza kukiona Cha nje Kama kizuri. Yaani kitu ni kizuri Kama haunacho ama hujawahi sikia kazi ni mbaya ukiwa nayo.
Ukiwa na nyumba hata 800M ya kuishi baadyae utaiona nzuri Tena utaitaka Tena.
Yaani uzuri wa mwanamke huwa sio kitu Kama Hana Tabia nzuri hata ufanyeje.
Nitakulala mwanzoni Ila ukianza kuwa na kiburi unafanya kinyume na ninavyotaka huchukui round labda kama nimekuzalisha nitakuacha hapo na watt nitakuwa naleta matumizi halafu nasepa.
Yaani uoe kwa kucheki uzuri ni Nani alikuwambia uzuri unaishi milele.
Hatukata wapo wanaoa kisa tamaa ya sex ila sio wote.
Mie hata niwe na tamaa vipi na wewe Kama hauna vigezo Basi vya kitabia.
Yaani huwa na project how will you take care of my kids sio kisa tu mie nitakukula.
How will you handle my mom, a lot of Shits Rebecca do you know lakini.
Basi niishie hapa.
Haya ndo tume kataaa next time ni Mtu ana pigwa na RPG[emoji81][emoji81]View attachment 2245810
La msingi jamii iwaangalie hawa viumbe kwa jicho kali kidogo maana bongo zao si sawa na bongo za kiume, maumbile yao si sawa na ya kiume...
Wanapaswa kuangaliwa na sio kuachwa achwa tu wanazurulazurula na kujivalia watakavyo kila mahala, hawa viumbe wanahitaji limitations kwenye maisha yao maana bongo zao hazina break kwenye kuyaendea mambo...
Wanapaswa kujua kabisa wao si sawa na MWANAUME....na hakuna kinachoitwa 50/50 na mwanaume zaidi wanahitaji controlling kila waendapo....Dunia inapitia mengi sana sasa kwa kuachia uhuru kwa hawa mama zetu...
Zipo jamii kama Arabs, Indians, Chinese nk bado zipo stricly kwenye maisha ya hawa viumbe japo dunia inapigana nako wafunguliwe...
😂 😂 😂 😂Hawa watu sio rahisi kuishi nao, hasa ukishakuwa tajiri.View attachment 2245830
Kwanini akajiue juu ya jiwe?Hili Kwa tunaopajua Bismarck beach wala halitupi maswali, huyu alijiua akiwa juu ya Jiwe mwili ukaangukia majini.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Ila yule alikuwa kiazi kanisa eti anawaambia wahudumu nitakupiga ya matako na mlivyo na mitako mikubwa hivyo🤣🤣😂😂 yule aliuuziwa gun kimakosa kabisaa😄😄😄😄Ni kweli Kama yule Mwamba aliyejiua Bar, watu wamevurugwa sana
😂😂Mwanamke ukiolewa tulia, lakini ukiolewa na tajiri...TULIA!
Ila wewe jamaa maswali yako bwanaKwanini akajiue juu ya jiwe?
Jaman yote haya ya nini? Em acheni hizo bwanaKama ningeweza kila mwanaume angegawiwa bastola na muda wote itatakiwa ishinde kiunoni, hizi ni harakati za kulinusuru hili taifa.
Jokes[emoji1]
Mkuu,mwanamke haaminiki....hata umbebe mgongoni. Ishi nae kwa machale sana.Ulaya wapi mzee, nipo bongo hii hii, wewe waona ni ujinga kwakua umejaza ujinga akilini mwako kwahiyo perception zako haziwezi kuwa sawa ni za kihalifu , badili mtazamo utaona mabadiliko
Wachache sanaWewe kuna pisi kali wanajua kutumia mbususu zao acha kabisa maisha yamekuwa poa kutokana na mbususu zao