Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Watu mnasahau kitu muhimu Sana,mnapaswa mzungumzie afya ya akili ya msela sio huyo Mwanamke
Kitendo Cha kufystua risasi nyumbani na kusema una test sio akili
 
Mkuu hapa tunazungumzia hili tukio,kwa mazingira yake ilipaswa huyo mwanamke achapike kipigo cha mbwa koko. Unadhani jamaa ni mjinga kumpiga mwanamke risasi zote saba? Vipi mke wako akuache umelala peke yako ety kaenda kwa diamond usiku? Yaani how do you feel?
Kwangu ni hapana. Huyu Dada hicho kifo kilimfaa kabisa....tena risasi saba ni chache mno
 
Ndo ivo mkuu lakini itategemea nani kagundulika wa kwanza huyo ndiye wa kunyooshewa kidole.
 
Mkuu nakuweka kundi moja na huyo niliyemjibu hapo
kuna mambo yako nje ya uwezo wetu huwezi kuleta umwamba kwenye jambo kama hili
Ni vile tu hayajakukuta Mwombe Mungu akuepushe ndugu
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Tu
Pamoja na athari zinazopatikana baada ya kuua yule aliyekufanyia ubaya,ndo unamuacha unaenda kwa mwingine,huoni huo mchezo utakua unafanyika hovyohovyo?
Wadada na akina mama wakubaliane na hali tu,kua ukifanya vile ambavyo mwanaume aliyejitoa kwaajili yako,kakujengea nyumba,anasaidia wakwenu,yawezekana unamuibia na nyingine,uwe tayari kwa adhabu yoyote ile,after all hata asingejipiga risasi,angekufa tu,asingefika 20300,wanakera sana baadhi ya wanawake.Marehemu asipangiwe nini angefanya.
 
Alikuwa muhudumu wa Villa ? hahaha....basi hapo jamaa alichemka kweli
 
Duh alikua ni mhudumu wa bar?
 
Mbona kama story moja watu wawili tofauti
 
Nasikitika sana sana kwa tukio hili pamoja na maelezo yote na comment zote bado binadamu ana baki kuwa binadamu mwenye thamani mbele za Mungu hata kama yupo na makosa kiasi gani.

Pamoja na mazingira yote ya vifo vya hawa ndugu mwenyezi Mungu awajalie nuru ya milele wapumzike kwa amani.
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.

Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Acha kutetea mambo ya kishenzi, Kutokua na utii haihalalalishi amuue, wabongo tuache kuwa kama Wanyama.
 
Huyu mwanamke hakuwa wa kuoa, wenye akili timamu hawawezi kuwa na chaguo za sampuli hii,
 
Hawa watu sio rahisi kuishi nao, hasa ukishakuwa
Sio kuwa ukishakuwa tajiri mkuu. Ishu Iko ivi unajua lakini kitu kinaitwa burning desire,mtu mwenye ambition,Yuko purposeful na kufanikisha kitu fulani lakini. Sasa ukishasimamia ndoto zako kiukweli Mana ni personal ishu ke wanakurudisha nyuma Mana atataka um take care muda huo unawaza how to establish your endeavor career in many fields.
Yaani Kuna watu hawalali wanawaza how to own Twitter company Sasa na ke anataka umjulie hali.kuna mchepuko ananimaindi eti simjulii Hali ameamkaje na ilhali mama yangu mwaka unapita bila ya kumpigia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…