Inategema mnaishije wewe nikuambie tu sio kila mwanaume ndoa yake imemshinda wachache tu ndiyo tumebarikiwa utashi huo,tambua akili ya mwanaume ndiyo itamfanya apate mwanamke anaemstahili na kumheshimu , we endelea kuwaza upupu huo, hakuna kiumbe dhaifu kama mwanamke na ukiwajua ndiyo kabisaaa, unaweza kuona njia zangu ni potofu kama wenzako walio coment huko juu lakini ni njia bora sana hazijawahi niangusha naelewa misimamo yangu na namna navyoitumia kuishi na mwanamke alienizalia watoto wanne, njia zisizo na purukushani zaidi ya upendo, maelewano, hekima, utashi na kumkaribisha na Mungu katika kila jambo, hivi nani amekuambia ndoa ni uwanja wa vita mnafeli sana vijana na mnadanganyana eti kuua ndiyo uanaume, kama amekushinda nakushauri tafuta unaemmudu, usiwe kama gari bovu kijana wangu