Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

 
23Mwanamke mbaya ni unyong'onyevu wa roho, na huzuni ya uso, na kujeruhi moyoni. Mwanamke asiyetaka kumfurahisha mumewe amefanana na mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza.

24Mwanzo wa dhambi ulitoka katika mwanamke, na kwa sababu yake sisi sote tunakufa.
25Usiyapatie maji mahali pa kutoka, wala usimpe mwanamke mbaya nafasi ya kusema kwa ujasiri.
26Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka.
 
16Ningependa kukaa na simba na joka kuliko kukaa nyumbani pamoja na mwanamke mbaya,
17Ubaya wa mwanamke huubadili uso wake kuwa wa kutisha, na kumtia sura yake giza kama ya dubu.
18Mumewe akikaa chakulani pamoja na jirani zake, bila kusudi aweza kupiga kite kwa majonzi.
19Ukorofi wote si kitu kama ukorofi wa mwanamke; mwenye dhambi na ampate kuwa sehemu yake!
20Kama kuipanda njia ya mchangani kwa miguu ya mzee, ndivyo alivyo mke mwenye maneno mengi kwa mtu mtulivu.
21Usinaswe na uzuri wa mwanamke, wala usimtamani mwanamke kwa ajili ya mali yake.
22Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe
 
Mshana naomba unijibu bhasi ujumbe nilio kutumia
 
Kwahiyo mnakataza wake zenu wasifanye mambo wayapendayo kwakuwa mmepewa mamlaka ya kutiiwa?
Mungu ndio katoa hayo niliyoyasema. Kama huyapendi una uchaguzi. Usiolewe, uwe na ndoa chungu au kambishie Mungu mwenyewe kama unaweza.

Ndoa haikuota kama uyoga na ilikuja na maelekezo. Kama huyataki tupa kule, ila usilielie ukiishia kwenye risasi na vitasa ukipata mwanaume wa kufanana nawe!
 
Wanawake wanamaudhi sana mkuu, tena akili ni kama bata, we unamkataza sitaki hiki na yeye ndio anakifanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mdogo wangu unashuka mapoint leo Hadi nafurahi kukusoma yani, sikujua km una akili nyingi hivi,, una msimamo na unaongea uhalisia Shem wangu akuoe sasa ili afaidi loh😍😍
 
ulikuwa kwa mwanamke kweli au ulikuwa mishe?
 
imekuwa weekend ngumu kwa maslay quuen bongo..wanasema kazi iendelee hio ni ajali kazini..wanaendelea na maisha ya kukinga choo dubai wakirudi wanunue harrier huku wakijiita wapambanaji..feminist
 
Waliotwangana risasi maskin.

Kweli hamna aijuae kesho yake
Your browser is not able to display this video.
 
Kila ndoa ni makubaliano ya namna mtakavoishi lakini binafsi naamini mkishaingia ndoani kuna mambo kila mmoja wenu ata sacrifice ili kuweza kujenga nyumba yenye amani na ustawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…