Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Halafu ndio usikie kitu chako kizuri kinaliwa!!?
walah na mimi nakipiga na javelin ile silaha ya maangamizi wanayotumia kwenye vita ya Ukraine na Russia!
IMG-20220531-WA0453.jpg
 
Dah!

Kwa kweli siwezi kabisa kuyatupa maisha yangu kiboya namna hii kisa mwanamke.

Self-esteem yangu na pride yangu ni kubwa mno na ninajipenda sana.

Huyu mtu alikuwa na matatizo yake binafsi tu.

Yaani unajitandika risasi hivyo kisa mwanamke?

Dunia hii ina watu takriban bilioni 8!

Ndo unapelekeshwa na huyo mmoja hadi unajiua?

Dah!
IMG-20220531-WA0453.jpg
 
23Mwanamke mbaya ni unyong'onyevu wa roho, na huzuni ya uso, na kujeruhi moyoni. Mwanamke asiyetaka kumfurahisha mumewe amefanana na mikono iliyolegea na magoti yaliyopooza.

24Mwanzo wa dhambi ulitoka katika mwanamke, na kwa sababu yake sisi sote tunakufa.
25Usiyapatie maji mahali pa kutoka, wala usimpe mwanamke mbaya nafasi ya kusema kwa ujasiri.
26Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka.
 
16Ningependa kukaa na simba na joka kuliko kukaa nyumbani pamoja na mwanamke mbaya,
17Ubaya wa mwanamke huubadili uso wake kuwa wa kutisha, na kumtia sura yake giza kama ya dubu.
18Mumewe akikaa chakulani pamoja na jirani zake, bila kusudi aweza kupiga kite kwa majonzi.
19Ukorofi wote si kitu kama ukorofi wa mwanamke; mwenye dhambi na ampate kuwa sehemu yake!
20Kama kuipanda njia ya mchangani kwa miguu ya mzee, ndivyo alivyo mke mwenye maneno mengi kwa mtu mtulivu.
21Usinaswe na uzuri wa mwanamke, wala usimtamani mwanamke kwa ajili ya mali yake.
22Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe
 
16Ningependa kukaa na simba na joka kuliko kukaa nyumbani pamoja na mwanamke mbaya,
17Ubaya wa mwanamke huubadili uso wake kuwa wa kutisha, na kumtia sura yake giza kama ya dubu.
18Mumewe akikaa chakulani pamoja na jirani zake, bila kusudi aweza kupiga kite kwa majonzi.
19Ukorofi wote si kitu kama ukorofi wa mwanamke; mwenye dhambi na ampate kuwa sehemu yake!
20Kama kuipanda njia ya mchangani kwa miguu ya mzee, ndivyo alivyo mke mwenye maneno mengi kwa mtu mtulivu.
21Usinaswe na uzuri wa mwanamke, wala usimtamani mwanamke kwa ajili ya mali yake.
22Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe
Mshana naomba unijibu bhasi ujumbe nilio kutumia
 
Kwahiyo mnakataza wake zenu wasifanye mambo wayapendayo kwakuwa mmepewa mamlaka ya kutiiwa?
Mungu ndio katoa hayo niliyoyasema. Kama huyapendi una uchaguzi. Usiolewe, uwe na ndoa chungu au kambishie Mungu mwenyewe kama unaweza.

Ndoa haikuota kama uyoga na ilikuja na maelekezo. Kama huyataki tupa kule, ila usilielie ukiishia kwenye risasi na vitasa ukipata mwanaume wa kufanana nawe!
 
Kaamua kumalizana na tatizo lake. Kiukweli kila mwanaume angeamua kuua mwanamke kwasababu ya dharau, kiburi, jeuri, kejeli, ununda, ubabe nk, wanawake wote wangeisha duniani.
Kuna wakati huwafikiria wanawake kama viumbe waliokosewa ktk uumbaji na hakuna namna ya kuwarekebisha.
Wanawake wanamaudhi sana mkuu, tena akili ni kama bata, we unamkataza sitaki hiki na yeye ndio anakifanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mwanaume au mwanamke yeyote asiyetulia ndio pekee anaweza kuona simu ya mwenzi wake kama ni kero. Ila kama unampenda mtu wako uko tayari hata kama unafua simu iko sikioni. Ni malayaa tu ndo huona simu za wenzi wao kama hazina maana na ni kero.

Halafu inakuja vipi huduma upate kwa said halafu utamu ukagawe kwa wengine... Yani huwa sipendi mauusiano yasiyo na uaminifu maana nilishayapitia. Yani unapiga simu linapokea baada ya kupiga mara kibao then linadanganyia ubize.

Risasi zitatembea sana hadi pale mlioolewa mtakapoacha kudanga. Wasukuma ni wastaarabu sana kwenye mahusiano huwa hawana tabu zaidi ya kujua kupenda . Kikubwa tu umpatie nafasi ya kuwa mume na wewe uwe mke ambaye Ana utii na unyenyekevu.
Labda wakurya ndo watata (wakurya msinipopoe).
Mdogo wangu unashuka mapoint leo Hadi nafurahi kukusoma yani, sikujua km una akili nyingi hivi,, una msimamo na unaongea uhalisia Shem wangu akuoe sasa ili afaidi loh😍😍
 
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ulikuwa kwa mwanamke kweli au ulikuwa mishe?
 
imekuwa weekend ngumu kwa maslay quuen bongo..wanasema kazi iendelee hio ni ajali kazini..wanaendelea na maisha ya kukinga choo dubai wakirudi wanunue harrier huku wakijiita wapambanaji..feminist
 
Waliotwangana risasi maskin.

Kweli hamna aijuae kesho yake
 
Kwani mtu akiolewa starehe zinaachwa?

Kwahiyo shoo zote zinazowekwa ni kwaajili ya wasio olewa tu? Au vijana tu?

Hamna mnayowasikilizaga huwa mnaona kama wanawake hawana haki ya kuwa na mambo yao wanapenda.

Unakuta mwanaume anakataza mke hata kwenda msibani, kwenye harusi, kusalimu ndugu ili mradi tu kiduke kasema.
Kila ndoa ni makubaliano ya namna mtakavoishi lakini binafsi naamini mkishaingia ndoani kuna mambo kila mmoja wenu ata sacrifice ili kuweza kujenga nyumba yenye amani na ustawi.
 
Back
Top Bottom