Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

[emoji23][emoji23] kazi kweli kweli.
 
Rebeca anayejitolea maisha yake yote kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa katika maisha yako yote ni mwanaume sio mwanamke.

utasemaje anakusaliti ?

imagine kila hitaji lako linakua kwa mwanaume wako hata ukiumwa yeye ndiye anawajibika kifupi maisha yako yote yanakua chini ya uangalizi wa mwanaume wako kwa kila kitu na maisha yake anawekeza kwako kabisa.

wewe unampa nini ?

K tu ?

aise mimi unakula chuma kwa kweli tena ukute hatuna hata watoto wa kuwaacha mayatima ?

mapema tu.

wengine tumeamua kuvumilia kwa sababu ukiangalia watoto wasio na hatia nayie nyio mliwaleta duniani watabakinwakiteseka unaamua tu kupiga moyo konde ila k’fupi nyie viumbe ni hatari sana kwa afya
 

Mkuu naona tuna different perceptions, sikuelewi, hunielewi.......eti anakupa K tu?? hujui hii ni kama barter trade, anakupa K, unampa Uangalizi, sasa kwa nini uone K haina thamani equal na Uangalizi wako au uone unaonewa???...kabla hujamuoa si ulipima mwenyewe na kuona how much you are willing to compromise/sacrifice? sasa kwa nini baadae uone tabu???

Halafu,pili kwenye relationship, wanaume, na sisi wanawake hatupeani vikojoleo tu, jifunze ndugu ...tunainvest Time, Emotions, etc... vitu ambavyo haviwezi kuwa replaced easily ambavyo kwa lugha nyingine tunasema ni vitu veeeeeeeeeeeeery expensive, wewe unaweza kurudisha Time?!...au Umeuombe sir God can i have extra time hapa duniani?!....

Mwisho huyo Mkeo hapo,wewe jua tu ameinvest vitu vingi,sio anakupa K tu, tena kama mna watoto ujue mkeo ana make sacrifices kila siku, kama unaona she has nothing to offer, baki na wewe siku moja na watoto uone mtiti wake?!
 
Umenikumbusha Ile movie ya "deep water" aisee ni balaa jamaa yupo kimya akiona mke wake ana shikwa na vinjemba mwishowe ana wauwa kimya kimya akirudi nyumbani ana smile bila shida.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unakua umetatua tatizo kimya kimya na roho inapata amani[emoji28][emoji28][emoji28], maana bila hivyo moyo utaendelea kukuuma, moyo wenye majeraha unatulia mpaka ufanye malipizi[emoji38]
 
Ndugu hivi mwanaume unawekezaje akili, hisia na pesa za huduma kwa mwanamke asie na shukrani na unajua kabisa hakupendi bali anakupenda kwa kuwa umemlazimisha tu au unajua kabisa anakupendea hela tu je hela zikukuishia? Hapo kosa lipo kwanini? Mwanamke hakupendi muache, kuna wanawake wana adabu na upendo sana na ni rahisi kuwa compromise na issue anayoitaka,

Kuwekeza kwa mwanamke ni kama uwekezeji tu wa kibiashara huwezi kuwekeza kwenye biashara inayokupa hasara tu itakuelete msongo wa mawazo
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]Jamaa nimekubali narration yako uko vzr[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!
Wadada warembo wa mjini hawa wanasumbua sana
Imagine maumivu ya kumnunulia wife crown halfu ye anapakia wahuni..ni sawa kweli Sis ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah Nina bifu nae kinoma yule mzee!ukipita jukwaa la international wadau wanaelewa bifu langu nae
Najua humpendi, nimekuwa sarcastic tu hapo. Ila bwana Putin anawapa za uso nyie Pro nato na USA dadeq!
 
Thamani ya pesa maelewano sio kulazimisha mapenzi kisa pesa, kama mtu kataka muachane mwache ona sasa familia zao wamebaki na huzuni, huyo mwanaume anafamilia yake unzani si wanashangaa mtoto wao kufanya hivyo si ajabu wanawake kibao walikuwa wanamtaka waoe wakufanana nao sio kubeba mizigo isiyo wahusu.
 
Sasa kama umeamua ku invest maisha yako kwa mumeo si uinvest kweli kweli? Kwa nini baadae ulete ukuda ukae unatembeza hicho kikojoleo kwa masela zako?

Kama ulikuwa hauko tayari si ukae nyumbani utulie udange weeee mpaka uridhike ndio uamue kuinvest kwa moyo wako wote sasa?

nini kinawafanya muolewe hali yakua hamuko tayari ?

ni dhiki au tamaa ????

kwani watoto ni kwa ajili ya mumeo tu au ni kwa ajili yenu wote ?
 
Huyo alikuwa anazani pesa ni kila kitu akiwa na wenzie anajisifia kuwa na mke mrembo, kumvumilia mtu usiye mpenda ni ngumu sana, akirudi unakunja sura utazani umekutana mbwa koko aliyejichafua[emoji18][emoji18]
 
Huyo alikuwa anazani pesa ni kila kitu akiwa na wenzie anajisifia kuwa na mke mrembo, kumvumilia mtu usiye mpenda ni ngumu sana, akirudi unakunja sura utazani umekutana mbwa koko aliyejichafua[emoji18][emoji18]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah
 
Ukiacha hisia zikuendeshe, kwa ujeuri utaishia kufeli
Sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli
 
Ameua kifala sana
 
Hili jambo la kuwauwa wanawake naona sasa limeota mizizi, yaani sasa imekuwa kama fasheni kuuwa!!!
wahanga wakubwa wa kuuawa ni wanawake.

Ushauri:
Wanawake amabo mpo kwenye mahusiano ya kimapenzi kuweni makini sana tena sana, hali sio nzuri, mtakwisha.
 
Haya mambo ni 50/50
Kuna wanawake pia ukiwachezea
Hisia zao wanaku shaya

CC: Yule dem aliyempiga kibiriti na petrol jamaa yk huko Mbezi Makabe

Ova
 
Et project...
Ila umenena vyema mzigo umekushinda uwache wengine wapambane nao... usiumize kichwa ukajipa matatizo bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…