Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Hukumu tamu kwa mwanamke mtata ni talaka.

Maana kwanza mtalaka hatongozwi, pili mtalaka hana urithi!
Hicho ndiyo cha kufanya kuua aachiwe Mungu aliyefanya uumbaji. Mwanamke akizingua iwe kwa namna yoyote ile dawa kuachana naye tu then unavuta pisi nyingine kaaaaaaaali . Mtu unapagawa na mwanamke as if ni kiumbe adimu dunian wakati wamejaa kibao
 
Haina makombo,kizuri kula na nduguyo,ikilitambua hilo mwanaume usiumie moyo,akiwa Malaya na were kua Malaya au mwache,ukikaa na muke moya atakutesa sana,sambaza upendo,akizingua huku hamia kureee muraa
FB_IMG_1653933858168.jpg
 
Hakika

Maisha ya mahusiano ni yanapendeza yakiwa simple.

Ukiyajaza (na wivu). Yanajaa. Kisha yanakushinda. Unaishia kuumiza watu na kujidhuru mwenyewe.

Nimesikitika mno namna kijana alivyohandle ndoa yake. Horrendous!
Kwa kweli wanaume tunajileteaga presha za bure kwa kuendekeza wivu wakijinga....wannawake wapo tuenjoy nao...leo kakupa wewe kesho kampa mwengine basi yote heri tuu maana utamu upo pale pale
 
hawa wanawake watakufa sana kwa kupenda ndoa na watu kisa wana pesa za kisenge senge... Ukishaolewa na mtu ana pesa tuliza matako yako chini kubali kuwa mpole lasivyo utauawa tu...
Unapewa nyumba gari unagunguliwa biashara kubwa halafu unaleta dharau lazima upewe za kichwa...
Wanawake mkae mkijua ndoa sio mafanikio ktk maisha, kwahio tulizeni makomwe yenu fanyeni kazi mpate pesa zenu ndio mlete viburi..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli wanaume tunajileteaga presha za bure kwa kuendekeza wivu wakijinga....wannawake wapo tuenjoy nao...leo kakupa wewe kesho kampa mwengine basi yote heri tuu maana utamu upo pale pale
NAKAZIA 👍🏾

Ukibahatika kumpata mwanamke akakutii tulia naye.

Ukimpata mwenye anaupiga mwingi, yapasa uwe bishoo zaidi yake. Ukiona huwezi, Achana naye. Not end of the world.
 
Wanawake msijisaulise kumbukeni ya kwamba mkiolewa uhuru wako anakuwa nao mme wako.

Pili, kama mtu humtaki ama haukuridhia kuolewa nae mkatae mapema afanye mambo mengine sio unamkubalia mtu unalala kwake, unakula pesa zake then bado unaendelea kufanya makando kando huko nje.

Sheria ni moja tu my house my rules, nje ya hapo ni kutafuta ukilema wa kujitakia, apumzike anapostahili mwanamke jeuri na kaidi asiyekuwa na utii kwa mme wake.
Sasa kwa tukio kama hilo nani kilema na nani sio kilema?
 
Back
Top Bottom