Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwa wewe ambae unapiga na kusepa haina shida , nawazungumzia waoaji waangalie na wanawake wa kuoa sio kila mwanamke ni wa kuweka ndani.
Sasa waoaji ndio waweke ndani ng'ong'ozo🤣🤣🤣🤣 mbona hii kama kampeni ya wale sura personal kupata ndoa🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
Kama ukiwa na wivu wa kijinga kama huyu jamaa yetu mvuvi, alitakiwa ampe kazi nyingine ya kufanya huyo mwanamke
 
Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!? Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
 
Ilipaswa amuachishe,na amtengenezee biashara za kuwa eneo moja kila siku
Acheni uninga huu bwana yaani mwanamke kasha establish biashara yke alafu wewe uje umuachishe kazi, je kama ni kitu she is passionate about?

Hili hapana mzeya kama umemkuta na kazi yake heshimu hilo. Wee bwana hapa la msingi ni moja tuu. Kumtombewaa kupo pale pale usilete wivu wakijinga mwanaume.
 
Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!?. Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
Sio kweli..
Kuna viumbe ni wazuri kiasili
Wengine hadi wafanyiwe modikikesheni kali sana
 
Huyo ni mrangi wa kondoa,mama yk ni shangaz yangu
Nasikia hata Baba yake amemkanya Bint na hakusikia, nakubaliana na wewe, je NI kweli huyu Mama wa kirangi kazaa na wengine kabla?
Screenshot_20220531-072136.jpg
 
Majibu ya Malaya wa kimataifa mtaendelea kuyapata tu.
Kuna mtu mnamwita dada wa taifa anatengeneza kizazi hatari sana cha hawa mnaita pisi kali.
Mtawaua sana
Malaya wanaenda kudanga kimataifa afu wana sifiana utasikia hongera zake fulani anakuliwa na msanii mkubwa kutoka America. Sema maisha ya kuishi kimaigizo yakizungu ndio yanaleta haya matokeo.
 
Kama ukiwa na wivu wa kijinga kama huyu jamaa yetu mvuvi,alitakiwa ampe kazi nyingine ya kufanya huyo mwanamke
Kuna jamaa zangu ni watu wa samaki. Wanasema jamaa alimnunulia mitumbwi ya engine huyo dada na kumuandalia kambi huko kwenye kisiwa wanakovulia samaki na dagaa na hiyo kambi ilikuwa inasimamiwa na mdogo wake huyo dada. Lengo ni kumpunguzia huyo dada mizunguko ila huyo dada aligoma. Maana ni mdada wa viwanja na makeup.

Yaani kiufupi jamaa alizingua sana na kuwekeza pesa ndefu kwa huyo dada mpaka kaamua kuoa kabisa. Halafu jamaa ni mtu wa hasira za karibu. Kiufupi jamaa alizingua sana kuoa pisi kali. Angeoa flat moja nyeusi ingemfaa.
 
Acheni uninga huu bwana yaani mwanamke kasha establish biashara yke alafu wewe uje umuachishe kazi, je kama ni kitu she is passionate about?

Hili hapana mzeya kama umemkuta na kazi yake heshimu hilo. Wee bwana hapa la msingi ni moja tuu. Kumtombewaa kupo pale pale usilete wivu wakijinga mwanaume.
Kwa wivu wa kijinga wa yule jamaa alitakiwa afanye hivyo na kama mwanamke angekataa angeachana nae,kuliko hivyo alivyofanya
 
Majibu ya Malaya wa kimataifa mtaendelea kuyapata tu.
Kuna mtu mnamwita dada wa taifa anatengeneza kizazi hatari sana cha hawa mnaita pisi kali.
Mtawaua sana
Yule kima huwa simuelewi kabisa.
 
Kuna jamaa zangu ni watu wa samaki. Wanasema jamaa alimnunulia mitumbwi ya engine huyo dada na kumuandalia kambi huko kwenye kisiwa wanakovulia samaki na dagaa na hiyo kambi ilikuwa inasimamiwa na mdogo wake huyo dada. Lengo ni kumpunguzia huyo dada mizunguko ila huyo dada aligoma. Maana ni mdada wa viwanja na makeup. Yaani kiufupi jamaa alizingua sana na kuwekeza pesa ndefu kwa huyo dada mpaka kaamua kuoa.
Kama alijaribu hivi na binti akagoma angefanya namna ya kuachana nae,nacho mlaumu huyu mwamba ni kuoa mwanamke maarufu wakati ana wivu wa hatari hivi
 
Back
Top Bottom