Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Rais samiah alikuwa akipika chakula, kupiga goti kwa mme wake enzi yu makamo wa Rais.

Halafu kuna tahira mmoja huko nje anatetea upumbavu wa huyo marehemu, mme anakupigia simu uwahi kurudi nyumbani umuandalie chakula unagoma unaenda kumshangaa msanii.

Halafu unapigiwa simu, zaidi ya mara 42 hupokei unarudi usiku wa manane ukiwa umelewa chakari unakalishwa kitako ili mme afahamu ulikuwa wapi usiku wote huo unakuja na lugha za matusi.

Hata mimi huruma hiyo sina nakuvunja miguu yote miwili.
Mzee nyboma
 
Huwezi shindana na nature brother!hizo pesa utaendelea tu kutoa kwa kiumbe kinachoitwa mwanamke kila iitwayo leo,nimesoma sehemu unampaga mkeo hela si ndio eeh??that's what it is!......Haya huyo kolo kapata faida gani Sasa,kamkaanga huyo dada na yeye kajikaanga si upimbi huo?
Point kubwa ni kwamba muache dharau, heshimuni wanaume mnaoishi nao kwenye ndoa.

We ukitaka kurukaruka uza uchi tu, uone kama kuna mwanaume atahangaika na wewe ilhali anajua wewe ni duka.
 
Mimi nilimuachisha kazi mapema kabisa, maana unakuta mtu yupo busy kutwa maofsini na kupewa oder mbalimbali na mabosi wake afu unakuta mshahara wenyewe labda ni 300K hela ambayo wewe unaiiingiza mara 15 ( 4.5M), ya nini sasa?

Nilimfanya akawa mama wa nyumbani mwaka wa 9 huu na kila kitu kinaenda sawa.
Hongera
Kama mke mtiifu umepata
 
Rais samiah alikuwa akipika chakula, kupiga goti kwa mme wake enzi yu makamo wa Rais.

Halafu kuna tahira mmoja huko nje anatetea upumbavu wa huyo marehemu, mme anakupigia simu uwahi kurudi nyumbani umuandalie chakula unagoma unaenda kumshangaa msanii.

Halafu unapigiwa simu, zaidi ya mara 42 hupokei unarudi usiku wa manane ukiwa umelewa chakari unakalishwa kitako ili mme afahamu ulikuwa wapi usiku wote huo unakuja na lugha za matusi.

Hata mimi huruma hiyo sina nakuvunja miguu yote miwili.
Tena Unapiga zaidi ya Hizo 7

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuachane na Saidi unaemuita kolo, hiyo kazi aliyokuwa anafanya Swalha inayomfanya ashindwe kujaza mafuta kwenye hako ka IST au Raumu unakokaona ni hovyo, ni kazi gani? Si bora abaki nyumbani tu sasa kuliko kuzurura hovyo😂.

Unauliza kwa hela gani ila wengi humu hata kuingiza 1M kwa nguvu na akili zenu hamuwezi bila ya kutegemea wanaume, ni either mdange au muombe waume wenu. Wanawake wenye akili za kutengeneza pesa zao zisizo na makandokando ni wachache sana Tz hii

Achenu dharau.
Ndio muache kukuza kwamba kala hela zake,Kama hata mafuta alishindwa kumuwekea Sasa pesa ipi mnayopigia kelele hapa.... Huyo jamaa yako alikuwa na matatizo ya afya ya akili.Ova!
 
Ndio muache kukuza kwamba kala hela zake,Kama hata mafuta alishindwa kumuwekea Sasa pesa ipi mnayopigia kelele hapa.... Huyo jamaa yako alikuwa na matatizo ya afya ya akili.Ova!

Kwanza amekufa ameziacha hizo pesa, sasa si angemuwekea mafuta tu mwenzie ... 😁 😁 😁
 
Hapana,tumejenga pamoja. Kwani nini niondoke ?Mme wangu ni mfanya biashara mkubwa kaajiri watu 50 kabisa. Hivyo si Marioo.
Kuna kipindi ukitutangazia kuwa umepiga teke ndoa yako, hadi wengine tukaja kwa waziri mkuu kuomba kuziba pengo. [emoji1787][emoji1787]

Msharudiana?
 
Kwanza marehemu Said alikuwa kolo Sana,Hana exposure,yaani akajua hapa duniani huyo swala ndio mwisho hakuna wanawake wengine!..na Nyie wanaume wa humu wote mnajifanya kumsupport Said hamna exposure Kama marehemu...Maisha Ni zawadi nzuri tuliyopewa huwezi poteza uhai wako kisa mtu wakati Kuna mamilioni ya watu ulimwenguni,,eti alikuwa anampa hela kwa hela gani Bwana za kumtoa mtu uhai?kwa hiyo mitumbwi ya mbao?Sasa Kama issue Ni uchungu wa pesa Bill gate itabidi atumie Nukes
Endelea Kula hela za wanaume Tu na wewe utasukumiwa Bullet

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndio muache kukuza kwamba kala hela zake,Kama hata mafuta alishindwa kumuwekea Sasa pesa ipi mnayopigia kelele hapa.... Huyo jamaa yako alikuwa na matatizo ya afya ya akili.Ova!
Yawezekana jamaa alamua kuchukua tax kurudi home ambako imwambia mkewe wakutane. Nazo ni pesa pia
 
Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!?. Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
Ulongo mchana kweupe
 
Mimi mchango wangu kwenye hili swala:

1. Hakuna binadamu anaeruhusiwa kuutoa uhai wa binadamu mwingine.
2. Wanaume tuwe makini sana na wanawake tunaowaoa.
3. Michepuko jamani... Michepuko! sijui nisisitize hili mara ngapi? Michepuko ni muhimu sana na ndio siri ya ndoa kuwa na amani! Na hili ni kwa pande zote mbili. Huyu bidada yeye (pengine) alikua ameshajiongeza ana pa kupumulia, tatizo inaelekea jamaa yeye alikua hana! Angalikua na ka mchepuko waaala haya yote yasingetokea tena angefurahi maana kapata kaupenyo. Wanaume wenzangu shime tujitahidi angalau ka mchepuko kamoja tu katakuokoa na mengi.
 
Wazuri sura personal wote wanatombekaa tuu kaka
Yaani kiufupi kwa hali halisi ya sasa inabidi mwanaume uwe na moyo wa kusamehe haraka na kusahau haraka. Na mwanaume uwe mtu wa kupotezea kabisa na usiwe na hasira kabisa.
 
Back
Top Bottom