Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mwingine kauawa na mkewe huko moshi kwa kitu chenye ncha kali baada ya kukutwa kwa mzazi mwenzie usiku, domestic violence everywhere.
 
Anaefanya umalaya ni Mwanamke, Mwanaume anafanya uhuni.

Pia kumbuka mwanaume haolewi yeye ndio anatoa ela yake kulipia mahari (Ni sawa amenunua kitu chake) hivyo kitu cha mtu hakiruhusiwi kutumika bila ruhusa yake.
Ndo maana wanaume wengi wanaumia sana , wale zao wakichepuka,
Kwa dunia ya sasa wanaume tuache haya mawazo
 
Back
Top Bottom