peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Tatizo, DNA!Ila mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Huyo mtoto aliyembeba, bila DNA ,hakuna majibu
Tatizo, DNA!Ila mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Mwanaume alikuwa na uchungu ndio maana kafanya tukio asilotarajia. Uwe me au ke, mwenzio akianza kufanya yasiyovumilika, kaa mbali nae kuepusha kama hili lililomkuta mume wa Jenipher. Hawa kama ugomvi wao ulikuwa mkubwa hivyo,ilitakiwa wawe wanaonana sehemu ya public tu ambapo kuna watu wengi sio sehemu kama nyumbani.Wanawake mnazingua sana,Hapo mwanamke alitaka kuchukua asicho stahili kwenye talaka ,Unaweza fikilia nn mbaya zaidi
Mimi mtu asinichukulie akili na afya tu, vingine nitatafutaWanawake mnazingua sana,Hapo mwanamke alitaka kuchukua asicho stahili kwenye talaka ,Unaweza fikilia nn mbaya zaidi
Umeonaee! Mbwa kala mbwa.Muuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga 😂
Issue sio akili timamu, hapo shida ni uwezo wa mtu kuzuia hasira zake, kudhibiti hasira, kujiepusha na kuwaka hasira. Wengi wenye short temper wanafanya mambo baada ya dk5 wanajutia.Ifikie hatua wenye akiri timamu ndo waingie kwenye ndoa
Ila ndoa ni nyoko sana na picha za wapenzi mtandaoni tukiwaona wapo kwenye mitoko full tabasamu tunaona wanafaidi kumbe uozo mtupu
Nimefatilia account ya Facebook ya huyo mwanaume na mkewe kwakweli picha zao jinsi walivyo na furaha huwezi amini kama wamgefikia hapa aiseeee ndo maana tunaambiwa tusiyaamini maisha ya mtandaoni🥹🥹imenisikitisha hii
Unaweza kudhani tukio limetokea pale Rau madukani kumbe ni huko daslamuMuuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga 😂
Bora Ulee Mtoto Wa Ndugu Unayejua Wazi Kuliko Kitanda Hakizai HaramHakuna kitu kiunauma kwa sisi wanaume kama unakuja kujua juhudu zote ulizo fanya unakuta kuna mtoto mmoja au wawili kumbe siyo wako aise ni mungu atupe roho ngumu ila inauma sana aise
Kuachqna sio issu÷. Issue ni hao viumbe kungangania majasho yetu.Wanandoa mnapochokana, vyema kuachana kwa amani
Hata kama mna watoto pamoja, bora Mama awe hai na Baba awe hai, hao watoto watawatembelea kwa utaratibu utakaowekwa kisheria
Vinginevyo wanandoa wengi watauana kwa risasi ama sumu 🙌
Afya ya akili