Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Bwana Kweka ameshindwa kudhibiti hasira zake hadi kufikia hatua ya kumuua mkewe, that's too bad.

Tusifike huko wanandoa, mambo yakiwa magumu tupeane nafasi, tutengane na yakishindikana tuachane kaa amani.

Lengo ni kulea hawa watoto pamoja, ila mambo yakiwa magumu hata remotely watalelewa tu.
 
Wanawake mnazingua sana,Hapo mwanamke alitaka kuchukua asicho stahili kwenye talaka ,Unaweza fikilia nn mbaya zaidi
Mwanaume alikuwa na uchungu ndio maana kafanya tukio asilotarajia. Uwe me au ke, mwenzio akianza kufanya yasiyovumilika, kaa mbali nae kuepusha kama hili lililomkuta mume wa Jenipher. Hawa kama ugomvi wao ulikuwa mkubwa hivyo,ilitakiwa wawe wanaonana sehemu ya public tu ambapo kuna watu wengi sio sehemu kama nyumbani.
 

Jamaa mbona kama "KIPENYO"?
 
Hakuna sababu zozote unazoweza kuzitoa zikaonekana kuwa ndiyo sababu ya kufmfanyia mwanadamu mwenzako uharamia kama huo. Ni dhahiri nchi ina wagonjwa wengi wa akili, kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida. Hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha mauaji kwa mwanadamu mwenzako kama endapo mtu huyo hayupo katika hali ya kuhatarisha uhai wako.
 
Bunduki ilikuwa mikononi mwa mtu ambaye hakustahili.Kanuni ya bunduki ni ulinzi binafsi sasa mke wako sio adui hadi utumie bunduki.Wenye akili hawagombani na watu wao wa karibu wakiwa na pistol karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…