Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

Adui ujinga ndiye adui wetu mkuu Tanzania.

Huko si ndiyo wanasema mwanamke kama hajapigwa na mumewe anaona hapendwi?
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

NILIVYOOINA MARA TU NDUGU SIKUTAKA SHIDA KUENDELEEA MWAKA 2020 NIKIKOSWA KUKATWAKATWA MAPANGA ACHATU

TARIME PALE NILIKUWA NAKADADA KAMOJA NKAKAULIZA MAPEMAKAKASEMA KAKO SINGLE

NKAKAKATUNZA MIEZIKADHAA UZURI SIKUWA NAPENDA KUTOKA NACHO NIKIWA BAR NIKO ALONE KANAKUJA NDAN GAME KANAONDOKA...

NKASHANGAA NAENDA LIDGE NAAMBIWA NA KAKA.MMOJA BR KAMA UNAWEZA YAAN USILLALE HUKU LEO WAMEKUJA JAMAA WATATU WANAKUULIZIA MMOJA AKAJICHANGANYA AKASEMA KUNA MBWA ANAKULA MPENZI WAKE YUKO HUMU

DAH BAHATI NILISHAMALIZANA NA PROJEXT ILIONIPELEKA NIKAHAMUA KUENJOY TU TWO WEEKS NIGEUKE

NDUGU JAMAA SITAMSAHAU MPAKA KESHO
NIKAITA BODA NKAKAA SEHEMU NKAMWOMBA JAMAA BODA INAKUJA NIPEE BEGI LANGU

JAMAA WANAJUA MPAKA NA CHUMBA NO..AISEE..NKAMWAMBIA WASIKUSUMBUE ACHA NGUO MBILI TATU WAKITAKA INGIA WAZIONE

BEGI LILIPOKUJA YAAN MWANZA ILINIHUSU NILIUNGA KILA GARI INAYOPANDIKAAAA

WALE SIOOOO BALAAA KABISAA
 
mikoa yotee kuna karibu kibahaa songea sijui....kule kuna baaango umeingia mkoa wa .....oooooh

wana serikaliyaooooooooooooo

Uaminii nendaa mashambanii mwaoooo kama hawana info uone kama utatokaa salamaa

Mashamba mengi yana miwaa pembeni katikati kumejaa bangi za kutoshaaaa

jichanganye kama ujawa mbuzi kafara
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

AFYA YA MOYO NI TATIZO
 
Na hiyo ni sababu ya ccm kuletw umaskini mikoani.

Watu wana hasira za maisha magumu
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

Watu bado wanasafari ndefu sana kueleimika ..
Elimu na ufahamu ni kitu kizuri sana.
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

Ndio maana wanaoa vitoto vidogo ili wavionee na kuvinyanyasa.
 
Back
Top Bottom