Cleopatra 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 210
- 306
mh! haya ngoja watia nia watakuja..Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.
Sifa zangu utazipata ukija pm.
Kwa walio serious tu.
Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.
Haya njooni sasa.
Mkuu upweke unachoshaHivi mbona nyuzi za kutafuta wanaume zimekua nyingi sana nowadays
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.
Sifa zangu utazipata ukija pm.
Kwa walio serious tu.
Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.
Haya njooni sasa.
hahahahaa!Ngoja nije PM tuyajenge bi dada,au ni PM kwanza wewe nione kama upo serious