Mume anahitaji!

Mume anahitaji!

Cleopatra 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
210
Reaction score
306
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
 
mh! haya ngoja watia nia watakuja..
 
Sasa tutajuaje kama unafaa kama hakuna ku-do, usije kuwa gogo kwenye syeta kwa syeta.
 
Ndugu zangu wenye bikira zenu tunzeni sana ila hili la kumwambia mwanaume hamna kufanya mpaka ndan ina mtihani wake pia je utavumilia ukikuta umeolewa na mwanaume halafu jogoo hawiki?

Je mwanaume akikuchukua akajua bikira akafika ndani akakuta ulisha tolewa je utakubali kuondoka mwenyewe

Samahan maswali mengi ila napenda nipate majibu
 
Hapo mwisho ni kama umeharibu dada, kwanini suiseme tu ukweli
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.

Naona umechagua na picha khasa kuleta mvuto.

Kila la kheri bibie.
 
Back
Top Bottom