Mume anahitaji!

Mume anahitaji!

Watoto wa kike wanazaliwa bikira zishatoka kulikoni wewe ulipofichwa hadi umri wako unayo bado...

Hii Technical matata sana tulifundishwa Depo kuwatafuta wadau kwa njia hii ndio very easy.
 
Kuishuhudia bikra bei gani!!
(kwa maana ya utalii wa ndani)
 
What's so special with virginity anyway....
Ungetaja sifa zako zingine unge sense zaid kuliko kuongelea bikra.
Bikra tuu haisadiii kama huna vitu vingne e.g..chura/sura/miguu etc nzuri....
Na hilo swala la "yeyote/popote/wowote" inaonyesha kua ww huna cha kupoteza and ina sound kama uko USED enough...
#Ni maoni tu#
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
Nipm kwanza nione How Serious Upo!
 
Ubikra sio kigezo…mpaka unaamua kutafuta bwana humu/kupitia JF yawezekana mtaani kwako wewe ni MSHENZI wa tabia...!
 
Sifa zote ninazo ila naangalia kibamia changu najihofu japo hicho kigezo hakipo hapo juu, je naweza kuja pm?
 
"... dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania..."

Huwezi kukosa mtu wa hivi....

Mtu Yoyote
 
Back
Top Bottom