kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Naamini mtu kama huyu ni dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyuhuyu mkuu halafu sasa hivi anadai kuwa yeye eti ni bikira!![emoji4][emoji4][emoji4]Wewe si ndo ulimpeleka mpenzi wako mahakamani wewe?
Na mimi hakuna kuniomba pesa mpaka ndoa.sawa?Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.
Sifa zangu utazipata ukija pm.
Kwa walio serious tu.
Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.
Haya njooni sasa.
Rafiki na wewe una hamu ya kumtafuna mwanamke?picha tafadhali
hakuna rafiki nimewasaidia nyie ili aweke pic muamini yaliyomo yamo [emoji23]Rafiki na wewe una hamu ya kumtafuna mwanamke?
Pole mkuu, endelea kutafuta utampata wa kufanana naweweKwa mara ya kwanza nimempata mtu mwenye sifa ninazohitaji ila hiyo 'Nb' imenitoa nduki![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani ukimpeleka mtu mahakamani bikra inatoka?Ni huyuhuyu mkuu halafu sasa hivi anadai kuwa yeye eti ni bikira!![emoji4][emoji4][emoji4]
Ukileta ujinga polisi panakuhusuUtakuwa mkali tena utupeleke polisi
Usikilize moyo wako mkuumi penda penda sana ila sijajua kwann kwako nimesita kuja... kuna kitu hakipo sawa hapa...!!!!
nani anapenda mbuzi mlio, bila kujua rangi yakeWadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.
Sifa zangu utazipata ukija pm.
Kwa walio serious tu.
Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.
Haya njooni sasa.
kuna mwenzio hivyo hivyo kasema kuduu mpaka ndoa... sasa kasheshe siku kapata nyege na mshikaj hatak anamwambia ngoja tuoane kwanza... asaivi anatapa tapa atafanyaje kalala had kwa jamaa ila wapi..!!!Usikilize moyo wako mkuu