Mume anahitaji!

Mume anahitaji!

Hivi mbona nyuzi za kutafuta wanaume zimekua nyingi sana nowadays
Maisha yamewawia magumu wanatafuta msaada wa kimaisha[emoji16]
259b24c6b0f6f4284619abebbe593f80.jpg
 
Hawa wanaojifanya wanatafuta waume ni waongo wananogesha kijiwe tu, nimeshawahi kufanya trial nione huwa wako serious au wanazingua tu nika wa PM kana watatu nione. Wa kwanza akaniambia nitumie no nitakutafuta ila hakunitafuta hadi leo, wa pili hakujibu pm na watatu hakuwa anataka kuolewa ila inaonekana alikuwa anatafuta wa kumuweka mjini maana alitanguliza hela mbele. Then nikaconclude wengi wa wanaojifanya wanatafuta waume ili waolewe wana malengo ya kutafuta mabuki( wanaume wa kuwachuna) na wengi wao target zao ni kusaka waume za watu ambao tayar wana pesa
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.

Urefu ni relative term, wewe una urefu gani ili nijue kuwa nitakuwa mrefu kwako? Vipi umri unaweza ruhusu mpaka kiasi gani kama utazidi hiyo range?
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
Thubutuuu shake well before use

Na akili zangu timamu siez fanya upuuz wa kukuoa ndo unipe sex ukijinad ni bk sabab najua ndoa haivunjiki kirahis isipokua taraka tu ndo inazungumza

Love-sex-marriage hyo ndo trend

Af sikuiz mabikra wanajikutaga washamba hta hawasemi
 
Hawa wanaojifanya wanatafuta waume ni waongo wananogesha kijiwe tu, nimeshawahi kufanya trial nione huwa wako serious au wanazingua tu nika wa PM kana watatu nione. Wa kwanza akaniambia nitumie no nitakutafuta ila hakunitafuta hadi leo, wa pili hakujibu pm na watatu hakuwa anataka kuolewa ila inaonekana alikuwa anatafuta wa kumuweka mjini maana alitanguliza hela mbele. Then nikaconclude wengi wa wanaojifanya wanatafuta waume ili waolewe wana malengo ya kutafuta mabuki( wanaume wa kuwachuna) na wengi wao target zao ni kusaka waume za watu ambao tayar wana pesa
true
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
Mkuu unaniruhusu nije kama hujampata??
 
Ukimpata huyo yoyote nishtue na mm ila mm sio bikra....Ku do mpaka atoe mahali
 
kama nimekielewa vile... embu njoo pm tuyajenge
 
kweli mimi ni mume tena mwema ila vigezo mmm cha mwisho kimenitoa out
 
Duh! Sizan kama utampata mtu

"hamna kuduu mpaka ndoa wewe ni bikra"

Je mkifunga ndoa akikuta used?
Kigezo kigumu hcho

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwamba hawa wanaokuja huku hawatongozwi au?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
We unayo ayo ya dhati,,!?

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.

Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.

Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi yyte. Awe anaishi popote Tanzania mwenye mapenzi ya dhati atafikiliwa zaid.

Sifa zangu utazipata ukija pm.

Kwa walio serious tu.

Nb: Mimi bado bikra kwa hiyo hakuna kudo mpaka ndoa.

Haya njooni sasa.
Mbuzi kwenye gunia
 
You got it all wrong.

1. Virgins are modest... they do not solicit that.
2. When you mention marriage, to a man you are inviting into your life... haven't met....sounds surreal.
 
Back
Top Bottom