Mume anahitajika 36+

Wewe tabia za kike za kujua thamani ya mume au unataka mume ajue thamani yako alafu.wewe usijue thamani ya mume
 
picha nikuone
 
Mtetea kutafuta jogoo siyo ustaarabu kabisa!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Nna sifa zote tatzo ni moja tu,,Mi makula bhange na kulipuliza
 
YAANI JAMAA ALISHAJIPONGEZA HUKO MUDA WOOTE HUO MPAKA AKAKUZALISHA WATOTO WA-2,..UTAMPATA WAPI MWANAUME MJINGA HIVYO WA KUBEBA MIZIGO ILIYOACHIKA,HALAFU NA WATOTO WAWILI JUU.KWANI WANAWAKE WAMEKOSEKANA MPAKA MTU AKAOE MATATIZO YOTE HAYO ? KAMA UNGEKUWA FAIR ENOUGH,ANGALAO MOJA YA SIFA ZA HUYO MUME MTARAJIWA UNGESEMA KWAMBA NA YEYE NI LAZIMA AWE NA WATOTO WAWILI(TENA WADOGO,UMRI USIZIDI 5YRS) AMBAO MAMA YAO HAO WATOTO AMEGOMA KUWALEA(AKAMSUSIA HUYO MUME MTARAJIWA),ILI HIYO EQUATION KWENYE NDOA YENU TARAJIWA IWEZE KU-BALANCE.HAPO NINGEKUONA UNA AKILI JAPO KIDOGO....OTHER WISE,LEA NA BEBA HUO MZIGO WAKO MWENYEWE !!
 
Mkuu mbona watu wengi tu wameoa wanawake wenye watoto na wao hawana! Mitazamo aina yako mara nyingi wanayo wenye umri 30 kushuka chini.
 
Mama mume hapatikani hapa angalia umri wako ushaenda sana muombe mungu ndo atakupa mume bora
 
Wewe kama ni mnada basi nyumba za Lugumu, hakuna mteja.

Kwanza hueleweki unataka mume au UNICEF?

Mwanaume asiyekunywa pombe hata kichwa yake huwa haiko sawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…