Mume anahitajika awe tayari kubeba majukumu ya kuwa Baba

Fernanda

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
76
Reaction score
80
Mim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena,

Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari kupima afya.

Kama uko tayari ni PM.
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Kamwene..
Makasi...

Kila laheri bibie watakuja watafuta wake. Ila kua makini tu JF mabazazi wengi.
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Kamwene mnogage
Mbona hujaweka details zote za unaemtaka?
Inapendeza uwe specific ili usipate shida kusort na kupoteza muda wako kwa unwanted men.
 
Weka na picha please
 
Kamwene mnogage
Mbona hujaweka details zote za unaemtaka?
Inapendeza uwe specific ili usipate shida kusort na kupoteza muda wako kwa unwanted men.
mtu akiweka vigezo vingi huwa wadau wanasema huyo mume amuumbe mwenyewe, na asipoweka vigezo vingi bado mnataka kuviona.

Jf shida.
Ila nalo ni wazo mkuu.
 
Be clear and concise.
Ukimsikiliza kila mtu mkuu hutafika chamsingi bidada aweke mahitaji yake yote wanaokidhi watamfata full stop.
 
Aisee naona unachukua fursa ndugu
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Mbena wewe?Nitumie PIC PM kisha tuangalie
 
Ngoja nijaribu kuja huko PM kama utanikubalia.
Maana Wabena huwa hamtupendi sana Wakinga.

Ngja nijaribu bahati yangu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…