public zungu
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 42
Pia mm ni mbena tena ni mwalimu wa sec njoo inbox kwa uhakiki zaidMim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena,
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari kupima afya.
Kama uko tayari ni PM.