Mume anahitajika awe tayari kubeba majukumu ya kuwa Baba

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji3][emoji3]nmekuona umetoa oda kwa madam b
Madam B. Ni mama mkwe wako kuwa makini. Ohoooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Umri ujaweka wakija madogo wa 20 maana jf sikuhizi hadi watoto wa primary wamo
 
Inna eeeee
[emoji15][emoji15]mama mkwe tena?
Achana na madame B banaaaaa.
Kwanza mzeee. Mimi ntampeleka wapi.
Acha apambane na wazee wenzie akina Chief Mkwawa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Inna eeeeeAchana na madame B banaaaaa.
Kwanza mzeee. Mimi ntampeleka wapi.
Acha apambane na wazee wenzie akina Chief Mkwawa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Jamani nimetafuta mwalimu mda mrefu bila shaka nimempata sasa...!
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
mmh wewe wa njombe kibena au wapi?
 
Mim ni binti Wa miaka 27, kabila langu ni mbena,ni Mwl Wa sekondar,ni Mkristo,Sina mtoto natafuta mume awe mkristo,awe tayari kubeba majukumu km baba,awe tayari kupima afya kama uko tayari ni PM.
Nitafute hapa 0673033892
 
Mim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena,

Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari kupima afya.

Kama uko tayari ni PM.[/QUO
Tutafutane mama.me maasai arusha
 
Back
Top Bottom