Mume anahitajika awe tayari kubeba majukumu ya kuwa Baba

Mume anahitajika awe tayari kubeba majukumu ya kuwa Baba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Toa ushuhuda nn kimekukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua huyo dogo umemshauri fresh sana. Just imagine mwanamke anaetafta mume anamiaka 27 ni mwalim means anaajira anakaz. Huyu dogo anamiaka 23 hana kaz
Means huyu dogo anataka akawe marioo tu yan mke awe anaenda kazn ye anaachwa amelala. Haileti sense dogo asome kwanza hayo yapo tu atayakuta mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom